Kwanini Lusubilo Mwakabibi pamoja na kushitakiwa kwa uhujumu uchumi lakini ameachiwa kwa dhamana?

Magufuli angekuwa hai iko siku angeshitakiwa kwa kumiliki genge la uhalifu
Bado mnapambana na aliyeihama dunia ,ninyi hakuna kitu mtakuja kufanikiwa,you don't have the true enemy,mwisho wa siku mnakuja kulalamikia kuwa mmeibiwa kura
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.

Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Kwa sababu alitusaidia kusginda ubunge wa jimbo la Buyungu kabla hatujamhamishia temeke
 
Leo nimesikia kwamba uchaguzi wa 2020 ulikua wa huru na haki Hadi CCM ikachukua ushindi.
Uchaguzi ulikua hurukwa kiwango Cha juu sana.
Toka Pemba mpaka Kigoma mpaka Arusha mpaka Mtwara na Mbeya mjini.
Hapo hapo Rais anakwambia walitumia sheria dhaifu kuwaengua wapinzani
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.

Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Sheria nyingi ni kuwatisha wapinzani
 
Mzigo hayo mkuu .. ili kumfurahisha waziri MKUBWA..
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.

Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
..maana Wasingefanya hivyo, kuna kibarua cha mtu takukuru kingekuwa matatani.
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.

Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?Zimezikwa chato
 
Mkuu hii nchi sasa hivi inajiendea tu. Wataokaa jela ni wapinzani tu
Wapinzani na mafukara ndiyo wanao kaa jela mm ndiyo maana napinga hata hizi sheria za ubakaji zinafunga masikini tu sasa kuna sababu gani wanawake kushupalia zizidi kuwa kali wakati matajiri na familia zao aziwagusi bora mbakaji afungwe miaka 4 tu tujue moja
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.

Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Jibu ni kuwa yeye ni kada wa CCM
 
Mifumo ya mahakama zetu zimejaa rushwa na kujipendekeza kwa wakubwa! Tungeletewa wale majaji wa Kenya akili zitukae sawa
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.

Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Huyo mwana ni tycoon la ufisadi
 
Economic case huwa zina dhamana hila mara nyingi dhamana zake huwa zina ambatana nakuacha mahakamani kiasi Cha pesa nusu ya kile ambacho unachoshtakiwa nacho, MONEY LAUNDARING ndio haina dhamana boss
 
Unashangaa ilo? Shangaa na la Boss wa zaman wa ATCL kuwa na hukumu mbili moja ilishatoka mwaka 2017 akashindwa kulipa fain ya Milion 35 akarudishwa tena ndani amekuja kutoka juzi hukumu yake ikisomwa kifungo miaka 4 au faini ya Milion 8 huku akiisababishia hasara ATCL Billion 100.

Bongo atuheshimiani
 
Back
Top Bottom