Kwanini Lusubilo Mwakabibi pamoja na kushitakiwa kwa uhujumu uchumi lakini ameachiwa kwa dhamana?

Kwa sababu aliyetoa maagizo ni Ndugu yetu Kassim Wa Maajaliwa, most of his directives huwa zinakua ignored. Sijui kwanini, iko wapi report ya kuungua Solo Kariakoo? Kwa mfano
Wale wa Wizara ya Fedha wameshashitakiwa tayari?
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.

Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Hata mimi nilistaajabu mshitakiwa wa uhujumu uchumi kupewa dhamana. Halafu ujue fisadi hawa hadi wakamatwe na waziri mkuu takukuru hawawezi. Yaani nchi imerudi kwa waovu.
 
ngoja tuwasikie wataalam wa sheria
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.

Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Chama gani
 
Kibaka na fisadi japo wote ni wezi lakini hukumu azilingani

IMG-20210821-WA0000.jpg
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.

Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Hapo hakuna kesi, alikuwa anakula na wakubwa
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.

Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya upendeleo
 
NAWAMBIAGA SIKU ZOTE HIZI KESI HAZINA ISSUE...

NCHI HII UKIWA NA CONNECTION UKILA NA WATU FULANI FULANI,HUFUNGWI

ACHENI KUJIUMIZA VICHWA VYENU

by ze way karibuni nyagi hapa

Ova
 
Huyu jamaa angekuwa ni Mbowe saa hii mngekuwa mnajadili hapa JF ni miaka mingapi atakayofungwa ila kwa sababu ni CCM yupo mtaani anatamba kana kwamba hakuna kilichotokea.

Nasikia pia kuwa yule mkurugenzi wa Temeke alietumbuliwa na kushtakiwa kwa makosa ya kuhujumu uchumi Bwana Mwakabibi yupo nje kwa dhamana wakati makosa ya kuhujumu uchumi huwa hayana dhamana.Kwa haya Tanzania ni Taifa lenye laana.
AM7C5j.jpg
 
Yani hizi gun angekutwa nazo Mbowe jamaani sijui ingekuwaje?
 
Ila kuna muda serikali inafanya majukumu yake kwa ubaguzi sana. Hizi silaha zote zilikuwa hazimilikiwi kihalali ila ilionekana si tatizo na suala likaisha.

Haya yanaleta chuki na kugawa watu katika makundi mawili. Kundi la kuonewa na kundi la kuharibu na kukumbatiwa.
 
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.

Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?

Hata wa kwenye kesi ya Zombe walipoachiwa hawakuamini macho yao.

Hayo ndiyo maajabu ya tunakoaminishwa kusubiri haki. Tena na hisia tuzilazimishe hivyo.

Dawa yake hapa ni katiba mpya tu itakayo hakikisha haki kamili kwa kila mtu na hata kwa watuhumiwa.
 
Ila kuna muda serikali inafanya majukumu yake kwa ubaguzi sana. Hizi silaha zote zilikuwa hazimilikiwi kihalali ila ilionekana si tatizo na suala likaisha.

Haya yanaleta chuki na kugawa watu katika makundi mawili. Kundi la kuonewa na kundi la kuharibu na kukumbatiwa.

Watavuna wanachopanda
 
Hii kesi hatutakubali ifichwe , yunaingia rasmi mitandaoni kuifukua.

Watanzania siyo Wajinga kiasi hicho , kama mlikuwa mnabeep sasa sisi tunawapigia .
 
Back
Top Bottom