digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Bado mnapambana na aliyeihama dunia ,ninyi hakuna kitu mtakuja kufanikiwa,you don't have the true enemy,mwisho wa siku mnakuja kulalamikia kuwa mmeibiwa kuraMagufuli angekuwa hai iko siku angeshitakiwa kwa kumiliki genge la uhalifu
una umri gani ?Bado mnapambana na aliyeihama dunia ,ninyi hakuna kitu mtakuja kufanikiwa,you don't have the true enemy,mwisho wa siku mnakuja kulalamikia kuwa mmeibiwa kura
Kwa sababu alitusaidia kusginda ubunge wa jimbo la Buyungu kabla hatujamhamishia temekeKwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Hapo hapo Rais anakwambia walitumia sheria dhaifu kuwaengua wapinzaniLeo nimesikia kwamba uchaguzi wa 2020 ulikua wa huru na haki Hadi CCM ikachukua ushindi.
Uchaguzi ulikua hurukwa kiwango Cha juu sana.
Toka Pemba mpaka Kigoma mpaka Arusha mpaka Mtwara na Mbeya mjini.
Sheria nyingi ni kuwatisha wapinzaniKwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
kuna majaji na majagi wakati jaji hufanya maamuzi jug hujaziwa uamuziHatuna majaji.
Hao do you call yourself a judge if your judgement is like that of a goat?
Pale ni geresha ni mtu wao kwenye misafara ya ikwete alikuwepo sanaasante kwa kufichua siri
..maana Wasingefanya hivyo, kuna kibarua cha mtu takukuru kingekuwa matatani.Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?Zimezikwa chato
Wapinzani na mafukara ndiyo wanao kaa jela mm ndiyo maana napinga hata hizi sheria za ubakaji zinafunga masikini tu sasa kuna sababu gani wanawake kushupalia zizidi kuwa kali wakati matajiri na familia zao aziwagusi bora mbakaji afungwe miaka 4 tu tujue mojaMkuu hii nchi sasa hivi inajiendea tu. Wataokaa jela ni wapinzani tu
Katika wahuni tz ni majaji na mahakimuHatuna majaji.
Hao do you call yourself a judge if your judgement is like that of a goat?
Jibu ni kuwa yeye ni kada wa CCMKwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Huyo mwana ni tycoon la ufisadiKwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Economic case huwa zina dhamana hila mara nyingi dhamana zake huwa zina ambatana nakuacha mahakamani kiasi Cha pesa nusu ya kile ambacho unachoshtakiwa nacho, MONEY LAUNDARING ndio haina dhamana bossKwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Bongo atuheshimianiUnashangaa ilo? Shangaa na la Boss wa zaman wa ATCL kuwa na hukumu mbili moja ilishatoka mwaka 2017 akashindwa kulipa fain ya Milion 35 akarudishwa tena ndani amekuja kutoka juzi hukumu yake ikisomwa kifungo miaka 4 au faini ya Milion 8 huku akiisababishia hasara ATCL Billion 100.
David Mataka aliyehukumiwa 20 Agosti, 2021 aliwahi kuhukumiwa Mwaka 2017 kwa kesi ileile na Mahakama ileile
Kuna jambo limenishangaza sana! Jana Mahakama ya Akimu Mkaazi Kisutu ilimuhuku aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kwenda jera miaka minne ama kulipa Faini Milion 8 kwa kuisababishia ATCL hasara ya Tsh Billion 71...www.jamiiforums.com
Mwakabibi yupo kabla hata Magufuli hajawa RaisMwakabibi kama Sabaya tu, ni matokeo ya so-called kazi maalum za uporaji na ufisadi chini ya awamu ya shujaa