Wale wa Wizara ya Fedha wameshashitakiwa tayari?Kwa sababu aliyetoa maagizo ni Ndugu yetu Kassim Wa Maajaliwa, most of his directives huwa zinakua ignored. Sijui kwanini, iko wapi report ya kuungua Solo Kariakoo? Kwa mfano
Hata mimi nilistaajabu mshitakiwa wa uhujumu uchumi kupewa dhamana. Halafu ujue fisadi hawa hadi wakamatwe na waziri mkuu takukuru hawawezi. Yaani nchi imerudi kwa waovu.Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
ngoja tuwasikie wataalam wa sheriaHata mimi nilistaajabu mshitakiwa wa uhujumu uchumi kupewa dhamana. Halafu ujue fisadi hawa hadi wakamatwe na waziri mkuu takukuru hawawezi. Yaani nchi imerudi kwa waovu.
Chama ganiKwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Hapo hakuna kesi, alikuwa anakula na wakubwaKwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya upendeleoKwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Bila kuwa kama Taleban hatutoboiKuna haja ya kufanya kitu ili dunia ituelewe
Kwa Tanzania yetu, Kama wewe SI mmoja wa wale nzi wa kijani, Basi utapata taabu Sana na mateso!Huyu jamaa angekuwa ni Mbowe saa hii mngekuwa mnajadili hapa JF ni miaka mingapi atakayofungwa ila kwa sababu ni CCM yupo mtaani anatamba kana kwamba hakuna kilichotokea.
View attachment 1905967
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania , kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za kuwanyima dhamana wahujumu uchumi zinawalenga watu gani?
Ila kuna muda serikali inafanya majukumu yake kwa ubaguzi sana. Hizi silaha zote zilikuwa hazimilikiwi kihalali ila ilionekana si tatizo na suala likaisha.
Haya yanaleta chuki na kugawa watu katika makundi mawili. Kundi la kuonewa na kundi la kuharibu na kukumbatiwa.
Magufuli mwenyewe alihukumiwa sembuse Mwakabibi!Afisa Kipenyo mbobezi huyo!!!πππ
Manji uhujumu uchumi ulimuweka sero kwa sababu ipi ?Mbowe anashitakiwa kwa ugaidi siyo uhujumu uchumi bwashee!