Kwanini machangudoa, makahaba, mashoga na malaya hawatajiriki kwa biashara ya kuuza mwili?

Kwanini machangudoa, makahaba, mashoga na malaya hawatajiriki kwa biashara ya kuuza mwili?

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Kusudi kubwa la kufanya biashara yoyote ni kuridhisha mahitaji ya mteja. Mteja anaporidhika ndipo unapata nafasi ya kuuuza zaidi na zaidi.

Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara. Hawa wenzetu wanaouza miili yao usiku na mchana mbona hawatajiriki?

Au kazi yao ni ya laana hela zote zinaishia kujiremba na kufanya starehe?
 
Ile biashara watakuhitaji ukiwa wa moto, umri ukienda mwili nao unaanza kukongoloka, K nayo haitamaniki imechakazwa unaweza sema imepigwa na bomu. Baada ya hapo ndipo anapoanza kutoa nyuma tena watu wanachakaza. Then anakuwa hana kitu cha kuofa, kuna vitoto vingine vinachipukia wateja wanakuwa hawana time nae.

Still bado yale maisha ya kupewa na zile luxury bado wanazipenda na ndipo unaporudi na kutumia hata akiba yake ili amantain status kumbe ndio anajimaliza baada ya hapo anaanza kukumbuka kuna kuolewa na kuanza kwenda kuwasumbua wachungaji wamuombee mixer kushinda makanisani na wanaume kila anayegusa anajua hapa hamna kitu anajikataa. Still bado kuna vinyongo/vilio kibao vya wake za watu ambao amewaharibia nyumba zao, ndoa zao vyote vipo juu yake.
 
Picha imemaliza kila kitu..
20230207_135229.jpg
 
Ile biashara watakuhitaji ukiwa wa moto ,umri ukienda mwili nao unaanza kukongoloka,K nayo haitamaniki imechakazwa unaweza sema imepigwa na bomu. Baada ya hapo ndipo anapoanza kutoa nyuma tena watu wanachakaza. Then anakuwa hana kitu cha kuofa,kuna vitoto vingine vinachipukia wateja wanakuwa hawa time nae.

Still bado yale maisha ya kupewa na zile luxury bado wanazipenda na ndipo unaporudi na kutumia hata akiba yake ili amantain status kumbe ndio anajimaliza baada ya hapo anaanza kukumbuka kuna kuolewa na kwenda kuwasumbua wachungaji wa muombee mixer kushinda makanisani na wanaume kila anayegusa anajua hapa hamna kitu anajikataa.Still bado kuna vinyongo kibao vya wake za watu ambao amewaharibia nyumba zao ,ndoa zao zote zipo juu yake.
Kwanini hawatajiriki baada ya kuwa wamezikusanya kwa siku nyingi?
 
Maisha yetu yanaanziankwenye ulimwengu wa roho kisha mwilini.
Sa pesa unayoipata inategemea kiroho ni safi,ina baraka,halali au lah!

Kuna mambo yanatokea kwemye ulimwengu wa roho katika hiyo kazi ambayo anaifanya yeye hayaoni,hayo ndo kikwazo.
Huwezi kuwa safi mwilini kama umejijazia matakataka rohoni.huwezi fanikiwa kwa lolote katika ulimwengu wa mwili kama huna baraka ulimwengu wa rohoni.
 
Kwanini hawatajiriki baada ya kuwa wamezikusanya kwa siku nyingi?
Mfano mtizame Uwoya yule life analoishi sasa hivi, ngojea akishapigwa chini still atataka kuishi life lile lile wakati source ya income hana, sasa kumantain ndio hata ile akiba kidogo aliyokuwa nayo ataitumia ili watu wamuone anayo hela.

Pili ile kazi haina baraka za Mungu kwanza,kwani wengi wao wameharibu ndoa na nyumba za wanawake wengine na hapo sasa ndipo ndipo msemo wa malipo hapa hapa unapopata nafasi yake.
 
Mfano mtizame Uwoya yule life analoishi sasa hivi, ngojea akishapigwa chini still atataka kuishi life lile lile wakati source ya income hana, sasa kumantain ndio hata ile akiba kidogo aliyokuwa nayo ataitumia ili watu wamuone anayo hela.

Pili ile kazi haina baraka za Mungu kwanza,kwani wengi wao wameharibu ndoa na nyumba za wanawake wengine na hapo sasa ndipo ndipo msemo wa malipo hapa hapa unapopata nafasi yake.
Kwanini majambazi hutajirika?
 
Kuna makahaba matajiri mpendwa, tena yapo hapa hapa bongo ya Samia, ni heri ungeomba tukutajie makahaba hao kuliko kuwaponda ilhali huwa wanavuta mkwanja mnene.
Tungemtajia majina sema itakua udhalilishaji kwa hao watu,
Tatizo lake mleta mada sio mtoto wa mjini anawaangalia hao wananchi wenzake wa Uyole anadhani life limeishia hapo tu[emoji23]
 
Kwanini hawatajiriki baada ya kuwa wamezikusanya kwa siku nyingi?
Mfano kuna mama mmoja kwenye mtaa nilipo niliowahi kukaa ana nyumba tatu ,mbili kapangisha na moja anakaa yeye mwenyewe. Yule bi mkubwa ni enzi zake alikuwa malaya na hata ukimtizama unajua ujana wake alisumbua. Ila ukikaa nae akili yake kidogo haipo vizuri, yaani ugomvi kidogo yanafumuka matusi, wapangaji wake na hawana amani.

Pili anahonga sana vijana wadogo na wakimwacha anafanya fujo mpaka kwa mademu zao yaani kama dish limeyumba.
 
Back
Top Bottom