Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Mwika, Rombo Green View na Delux wote wazee wa kaziUpo sahihi mkuu. Ukanikumbusha mangi mmoja tajiri pale Sinza nyakati hizo. Alipata utajiri kwa ujambazi akaacha. Alikuwa na hotel na guests kadhaa. Jamaa zake ambao bado walikuwa wanaendelea kujikimu kwa ujambazi wakampa mchongo. Kuna gari la kokakola litapita limebeba fedha nyingi sana. Jamaa akaingia tamaa akaungana na jamaa zake. Hamadi gari la kokakola hili hapa. Wakaanza kujibizana risasi na askari. Askari polisi ni askari tu. Risasi ikampitia akafariki kabla ya kufikishwa Muhimbili. Jina lake na quests zake pale Sinza kapuni.