Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona makahaba wa siku hz ndo hawatajiriki,ila wa zamani wengi tu wametoboa wapo na mijengo na biashara zao za mabar na majumba
Hatari sana aiseeMwika, Rombo Green View na Delux wote wazee wa kazi
Na makwao wanalalamika hawapelekewi chochoteUnacho sema ni wanao fanya izo ukienda kwenye mageto yao aisee n wakawaida hawnaa maendeleo unajiuliza pesa wanapeleka wapi kila sku kusifia wanaingiza pesa nyingi labda wanajenga makwao
WeraweraaaaNyokoo,Yaani mungu akupe viungo bure,wewe ugeuze kuwa mtego wa kuingiza pesa halafu utajirike....
Kamuulize wema sepetuKusudi kubwa la kufanya biashara yoyote ni kuridhisha mahitaji ya mteja. Mteja anaporidhika ndipo unapata nafasi ya kuuuza zaidi na zaidi.
Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara. Hawa wenzetu wanaouza miili yao usiku na mchana mbona hawatajiriki?
Au kazi yao ni ya laana hela zote zinaishia kujiremba na kufanya starehe?
Sababu kupata hela sio kigezo cha utajiri. Kuna watu wanalipwa mshahara mkubwa na sio matajiri. Ni kitu kile kile.Kusudi kubwa la kufanya biashara yoyote ni kuridhisha mahitaji ya mteja. Mteja anaporidhika ndipo unapata nafasi ya kuuuza zaidi na zaidi.
Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara. Hawa wenzetu wanaouza miili yao usiku na mchana mbona hawatajiriki?
Au kazi yao ni ya laana hela zote zinaishia kujiremba na kufanya starehe?
si kweli. unazani matajiri wote wamepata pesa kwa njia za halali?tuanze na daimond kwanza kuna kitu kimejificha kwenye mziki wake kupitia hayo mambo fikiria hata akiimba matusi na bado watu watapenda mziki wake kuliko ww utakaeimba nyimbo za kuelimisha.Maisha yetu yanaanziankwenye ulimwengu wa roho kisha mwilini.
Sa pesa unayoipata inategemea kiroho ni safi,ina baraka,halali au lah!
Kuna mambo yanatokea kwemye ulimwengu wa roho katika hiyo kazi ambayo anaifanya yeye hayaoni,hayo ndo kikwazo.
Huwezi kuwa safi mwilini kama umejijazia matakataka rohoni.huwezi fanikiwa kwa lolote katika ulimwengu wa mwili kama huna baraka ulimwengu wa rohoni.
Wangesoma malaya wote hapa.Ile biashara watakuhitaji ukiwa wa moto, umri ukienda mwili nao unaanza kukongoloka, K nayo haitamaniki imechakazwa unaweza sema imepigwa na bomu. Baada ya hapo ndipo anapoanza kutoa nyuma tena watu wanachakaza. Then anakuwa hana kitu cha kuofa, kuna vitoto vingine vinachipukia wateja wanakuwa hawana time nae.
Still bado yale maisha ya kupewa na zile luxury bado wanazipenda na ndipo unaporudi na kutumia hata akiba yake ili amantain status kumbe ndio anajimaliza baada ya hapo anaanza kukumbuka kuna kuolewa na kwenda kuwasumbua wachungaji wamuombee mixer kushinda makanisani na wanaume kila anayegusa anajua hapa hamna kitu anajikataa. Still bado kuna vinyongo/vilio kibao vya wake za watu ambao amewaharibia nyumba zao, ndoa zao vyote vipo juu yake.
SawaSababu kupata hela sio kigezo cha utajiri. Kuna watu wanalipwa mshahara mkubwa na sio matajiri. Ni kitu kile kile.
Ili kuwa tajiri inabidi uwe na ujuzi wa kutunza pesa, na kuzalisha pesa kutoka kwenye pesa ulizozalisha. Wengi hawana huo ujuzi.
Wema ni tajiri?Kamuulize wema sepetu
Kamuulize miak yote alit...mbwa bure!Wema ni tajiri?