Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Una uhakika unacho kinena?Kusudi kubwa la kufanya biashara yoyote ni kuridhisha mahitaji ya mteja. Mteja anaporidhika ndipo unapata nafasi ya kuuuza zaidi na zaidi.
Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara. Hawa wenzetu wanaouza miili yao usiku na mchana mbona hawatajiriki?
Au kazi yao ni ya laana hela zote zinaishia kujiremba na kufanya starehe?