Kwanini machangudoa, makahaba, mashoga na malaya hawatajiriki kwa biashara ya kuuza mwili?

Kusudi kubwa la kufanya biashara yoyote ni kuridhisha mahitaji ya mteja. Mteja anaporidhika ndipo unapata nafasi ya kuuuza zaidi na zaidi.

Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara. Hawa wenzetu wanaouza miili yao usiku na mchana mbona hawatajiriki?

Au kazi yao ni ya laana hela zote zinaishia kujiremba na kufanya starehe?
Umewahi kuona jambazi tajiri?
Muuza pombe tajiri?
Kazi za dhambi huishia pabaya
 
Tofautisha kat ya kupata pesa na kutajirika
Unaweza kupata pesa nyingi na usitajirike
Utajiri Ni mifumo, utajir una njia zake mkuu
 
Tungemtajia majina sema itakua udhalilishaji kwa hao watu,
Tatizo lake mleta mada sio mtoto wa mjini anawaangalia hao wananchi wenzake wa Uyole anadhani life limeishia hapo tu[emoji23]
Nakazia[emoji4]
 
Malaya wamekuwa wengi mno. Hii imesababisha thamani yao kushuka. Imagine mtu anauza K kwa elfu 5, hadi afikishe milioni moja anahitaji wateja 200
 
Kusudi kubwa la kufanya biashara yoyote ni kuridhisha mahitaji ya mteja. Mteja anaporidhika ndipo unapata nafasi ya kuuuza zaidi na zaidi.

Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara. Hawa wenzetu wanaouza miili yao usiku na mchana mbona hawatajiriki?

Au kazi yao ni ya laana hela zote zinaishia kujiremba na kufanya starehe?
Utajiri ni nini?
Tuanzie hapo kwanza
 
Ndyooo kwa kupiga pipe, wao wakajiongeza na kutengeneza mzunguko wa pesa endelevu

Forget about kuendeleza,nazungumzia mapato aliyokusanya kwa kupigwa pipe ndiyo yaliyowatajirisha? Kila tajiri ana starting point ila iliyo mtajirisha inakuwa siyo aliyoanza nayo ,hata Kim kardashian siyo sex tape ndiyo iliyompa utajiri ni issue nyingine kabisa na ndiyo maana mwenzake Ray J sio tajiri.
 
Sasa kuna tajiri anazuka tyuuh bila kua na njia? Au unazungumzia shoga pesa zote alizopewa na mabasha bila kufanyia chochote aziweke pale afu aone km n tajiri au laaah?

Pesa lazima afanyie mzungukoo wake ndo awe tajiri. Ila chanzo ni kuinamishwaa.
 
Ndiyo point yangu ,hata bakhresa alianza kuuza karanga lakini hauwezi kusema kuuza karanga ndio iliyomtajirisha,dayamondi alianza kuuza mitumba na kuokota makopo lakini si huko alipopatia pesa.

Hata hao mashoga kama ni matajiri sio ushoga ndio uliowapa utajiri.
 
Back
Top Bottom