Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Alitoboa kwa kuuza mbunye?Kim kardashian.......!!
Kuna makahaba matajiri mpendwa, tena yapo hapa hapa bongo ya Samia, ni heri ungeomba tukutajie makahaba hao kuliko kuwaponda ilhali huwa wanavuta mkwanja mnene.Matajiri wengi wakubwa kwa wadogo ni wafanyabiashara. Hawa wenzetu wanaouza miili yao usiku na mchana mbona hawatajiriki?
Kwanini hawatajiriki baada ya kuwa wamezikusanya kwa siku nyingi?Ile biashara watakuhitaji ukiwa wa moto ,umri ukienda mwili nao unaanza kukongoloka,K nayo haitamaniki imechakazwa unaweza sema imepigwa na bomu. Baada ya hapo ndipo anapoanza kutoa nyuma tena watu wanachakaza. Then anakuwa hana kitu cha kuofa,kuna vitoto vingine vinachipukia wateja wanakuwa hawa time nae.
Still bado yale maisha ya kupewa na zile luxury bado wanazipenda na ndipo unaporudi na kutumia hata akiba yake ili amantain status kumbe ndio anajimaliza baada ya hapo anaanza kukumbuka kuna kuolewa na kwenda kuwasumbua wachungaji wa muombee mixer kushinda makanisani na wanaume kila anayegusa anajua hapa hamna kitu anajikataa.Still bado kuna vinyongo kibao vya wake za watu ambao amewaharibia nyumba zao ,ndoa zao zote zipo juu yake.
Hawana kituKuna makahaba matajiri mpendwa, tena yapo hapa hapa bongo ya Samia, ni heri ungeomba tukutajie makahaba hao kuliko kuwaponda ilhali huwa wanavuta mkwanja mnene.
Ile ni rich familyKim kardashian.......!!
Mfano mtizame Uwoya yule life analoishi sasa hivi, ngojea akishapigwa chini still atataka kuishi life lile lile wakati source ya income hana, sasa kumantain ndio hata ile akiba kidogo aliyokuwa nayo ataitumia ili watu wamuone anayo hela.Kwanini hawatajiriki baada ya kuwa wamezikusanya kwa siku nyingi?
Waswahili mna maneno duh... nimecheka hadi chiniNyokoo,Yaani mungu akupe viungo bure,wewe ugeuze kuwa mtego wa kuingiza pesa halafu utajirike....
Kwanini majambazi hutajirika?Mfano mtizame Uwoya yule life analoishi sasa hivi, ngojea akishapigwa chini still atataka kuishi life lile lile wakati source ya income hana, sasa kumantain ndio hata ile akiba kidogo aliyokuwa nayo ataitumia ili watu wamuone anayo hela.
Pili ile kazi haina baraka za Mungu kwanza,kwani wengi wao wameharibu ndoa na nyumba za wanawake wengine na hapo sasa ndipo ndipo msemo wa malipo hapa hapa unapopata nafasi yake.
Tungemtajia majina sema itakua udhalilishaji kwa hao watu,Kuna makahaba matajiri mpendwa, tena yapo hapa hapa bongo ya Samia, ni heri ungeomba tukutajie makahaba hao kuliko kuwaponda ilhali huwa wanavuta mkwanja mnene.
Mfano kuna mama mmoja kwenye mtaa nilipo niliowahi kukaa ana nyumba tatu ,mbili kapangisha na moja anakaa yeye mwenyewe. Yule bi mkubwa ni enzi zake alikuwa malaya na hata ukimtizama unajua ujana wake alisumbua. Ila ukikaa nae akili yake kidogo haipo vizuri, yaani ugomvi kidogo yanafumuka matusi, wapangaji wake na hawana amani.Kwanini hawatajiriki baada ya kuwa wamezikusanya kwa siku nyingi?