Yote tisa Yanga wako vzr ktk Content hasa hii safari ya kigali, wameifanya content kiasi ambacho hadi wewe umeleta mada humuNimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.
Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa makosta,waandishi wa habari wanaongelea Yanga tu na hata baadhi yao kusafiri na Yanga kama timu nzima ya clouds sport extra.
Kwanini vyombo vya habari vipo biased? Mechi ya Yanga ina nini hasa?
Hili ndilo la msingi ,wasijisahauMechi hii yanga wanajiamini sana..waangalie wasije wakapoteza wakabaki wanyonge tu.
Wazee wa min Bus...Viongozi wa Yanga wamejitafuta na wamejipata, wamegundua Yanga ina mashabiki, wapenzi na wana chana wengi nje na ndani ya nchi.
Walichofanya ni kuweka nguvu na akilizao kuhamasisha mechi yao na kukataa kabisa kuiongelea Simba katika hamasa zao na mashabiki wame itika.
Matokeo yake Simba imebaki katika uhalisia wake na mambo yake.
Kama yanga wataendelea na utaratibu huu wa kutoitaja Simba katika hamasa zao basi Simba watakua na wakati mgumu ku push ajenda zao.
Simba walikua wanatembelea nyota ya yanga katika kubishana vitu vya kipuuzi.
Ok, najaribu kuona hili usemalo kwa simba ,huku JFViongozi wa Yanga wamejitafuta na wamejipata, wamegundua Yanga ina mashabiki, wapenzi na wana chana wengi nje na ndani ya nchi.
Walichofanya ni kuweka nguvu na akilizao kuhamasisha mechi yao na kukataa kabisa kuiongelea Simba katika hamasa zao na mashabiki wame itika.
Matokeo yake Simba imebaki katika uhalisia wake na mambo yake.
Kama yanga wataendelea na utaratibu huu wa kutoitaja Simba katika hamasa zao basi Simba watakua na wakati mgumu ku push ajenda zao.
Simba walikua wanatembelea nyota ya yanga katika kubishana vitu vya kipuuzi.
Kwani mechi ya simba inachezewa wapi?Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.
Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa makosta,waandishi wa habari wanaongelea Yanga tu na hata baadhi yao kusafiri na Yanga kama timu nzima ya clouds sport extra.
Kwanini vyombo vya habari vipo biased? Mechi ya Yanga ina nini hasa?
Mimi na sisitiza kama yupo shabiki anaweza kwenda Rwanda kwa pikipiki, Tax au Bajaji bado hajachelewa awahi, kikubwa tunahitaji Vibe la kila shabiki wa Yanga pale Kigali.Wazee wa min Bus...
kaongea kinyumeOk, najaribu kuona hili usemalo kwa simba ,huku JF
Mie najaribu kuona ,ni nyuzi ngapi huwa zinaanzishwa, waanzishaji wako upande gani na aina ya uchangiajikaongea kinyume
Rage ajengewe sanamuKICHWA CHA SHABIKI WA SIMBA AKA MAKOLO
GSM anawapa bahasha marefa
GSM anawapa bahasha TFF
GSM anawapa bahasha timu pinzani wacheze chini ya kiwango
GSM anawapa bahasha timu pinzani zinazocheza na simba
GSM anawapa bahasha mashabiki
GSM anawapa bahasha CAF
GSM anawapa bahasha waandishi wa habari
GSM anawapa bahasha wachezaji wa timu pinzani ili wawaumize wachezaji wa simba
Basi uzi ufungweNdiyo mechi ya wageni wa mashindano!!
Masokolo Mageni.
Kikosi kikosi kikosi kimetulia kakaMechi hii yanga wanajiamini sana..waangalie wasije wakapoteza wakabaki wanyonge tu.
Yanga ni timu ya wananchi! Hivyo inastahili kabisa kuongelewa na kila mwananchi wa nchi hii ukiwemo wewe uliyegikia mpaka hatua ya kuanzisha uzi.Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.