Kwanini macho na masikio ni kwenye mechi ya Yanga na siyo Simba

Hatua ya pili tu watu wanaongozana kama manyumbu kwenda kushuhudia , vipi mkivuka robo fainali si mtampeleka rais na baraza zima la mawaziri?

Mashabiki wa timu kubwa daima wanaanza kusafiri na timu baad ya kufika ¼, ½ na fainali tofauti na hapo ni vikundi vya ushangiliaji tu na wapenzi waliopo katika nchi husika. ...
 
Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.

Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa makosta,waandishi wa habari wanaongelea Yanga tu na hata baadhi yao kusafiri na Yanga kama timu nzima ya clouds sport extra.

Kwanini vyombo vya habari vipo biased? Mechi ya Yanga ina nini hasa?
Yote tisa Yanga wako vzr ktk Content hasa hii safari ya kigali, wameifanya content kiasi ambacho hadi wewe umeleta mada humu
 
Viongozi wa Yanga wamejitafuta na wamejipata, wamegundua Yanga ina mashabiki, wapenzi na wanachama wengi nje na ndani ya nchi.
Walichofanya ni kuweka nguvu na akilizao kuhamasisha mechi yao na kukataa kabisa kuiongelea Simba katika hamasa zao na mashabiki wame itika.
Matokeo yake Simba imebaki katika uhalisia wake na mambo yake.
Kama yanga wataendelea na utaratibu huu wa kutoitaja Simba katika hamasa zao basi Simba watakua na wakati mgumu ku push ajenda zao.
Simba walikua wanatembelea nyota ya yanga katika kubishana vitu vya kipuuzi.
 
Viongozi wa Yanga wamejitafuta na wamejipata, wamegundua Yanga ina mashabiki, wapenzi na wana chana wengi nje na ndani ya nchi.

Wazee wa min Bus...
 
Wazee wa propaganda..kwanza hayo na macho na masikio ulioyapima ww wapiiiiiii....wengine mbona hatuna hyo habari...
 
Viongozi wa Yanga wamejitafuta na wamejipata, wamegundua Yanga ina mashabiki, wapenzi na wana chana wengi nje na ndani ya nchi.
Walichofanya ni kuweka nguvu na akilizao kuhamasisha mechi yao na kukataa kabisa kuiongelea Simba katika hamasa zao na mashabiki wame itika.
Matokeo yake Simba imebaki katika uhalisia wake na mambo yake.
Kama yanga wataendelea na utaratibu huu wa kutoitaja Simba katika hamasa zao basi Simba watakua na wakati mgumu ku push ajenda zao.
Simba walikua wanatembelea nyota ya yanga katika kubishana vitu vya kipuuzi.
Ok, najaribu kuona hili usemalo kwa simba ,huku JF
 
Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.

Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa makosta,waandishi wa habari wanaongelea Yanga tu na hata baadhi yao kusafiri na Yanga kama timu nzima ya clouds sport extra.

Kwanini vyombo vya habari vipo biased? Mechi ya Yanga ina nini hasa?
Kwani mechi ya simba inachezewa wapi?
 
KICHWA CHA SHABIKI WA SIMBA AKA MAKOLO

GSM anawapa bahasha marefa
GSM anawapa bahasha TFF
GSM anawapa bahasha timu pinzani wacheze chini ya kiwango
GSM anawapa bahasha timu pinzani zinazocheza na simba
GSM anawapa bahasha mashabiki
GSM anawapa bahasha CAF
GSM anawapa bahasha waandishi wa habari
GSM anawapa bahasha wachezaji wa timu pinzani ili wawaumize wachezaji wa simba
Rage ajengewe sanamu
 
Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.

Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa makosta,waandishi wa habari wanaongelea Yanga tu na hata baadhi yao kusafiri na Yanga kama timu nzima ya clouds sport extra.

Kwanini vyombo vya habari vipo biased? Mechi ya Yanga ina nini hasa?
Yanga ni timu ya wananchi! Hivyo inastahili kabisa kuongelewa na kila mwananchi wa nchi hii ukiwemo wewe uliyegikia mpaka hatua ya kuanzisha uzi.
 
Back
Top Bottom