Shukran mkuu kwa ufafanuzi mkubwa..shida ya Sasa ni kwamba watu Wana "Nia" ya kujua mambo haya ama kuingia sababu kila mtu ana uhuru wa "kuchagua" Imani aitakayo ...ndio mana Kuna waabudu mabudha n.k..ila kumekua na matapeli wengi sana na watu bila kuona mbwembwe za mhusika wanajua ni feki..Ulimwengu wa roho/giza inataka akili kutulia ndo uielewe..
Shida inakuja mpaka watu wakuelewe inachukua muda sana.
Ni Elimu inayohitaji muda mrefu sana mpaka kuelewa sasa ukizingatia sisi weusi tunapenda shotcut tunataka mtu aeleze kwa ufupi na wafanyie kazi waone ukweli wake kitu ambacho si kweli eti ufupishe ili watu wapate kuelewe ni haiwezekani.
Kwanza mpaka kuufungua tu utandu wa kuone nje ya ulimwengu huu wa jua inachukua muda.
Ndo uje kuanza kufundishwa tawala koo na mambo mengine yasiyoonekana ni muda mrefu ni mpaka muhusika uwe unapenda fatilia mambo hayo.
Pili ni kweli kama umesoma kwa pupa juu ya ulimwengu giza halafu ukawa huna msimamizi wa kukuelekeza ambaye ni mbobevu ndo unajikuta unaingia kwenye maagano yatakayokulimit milele.
Na hii ndo wengi hupelekea kwa kupupia anataka utajiri anajiingiza katika miroho michafu mwishowe inamfunga/inamlimit baadhi ya vitu ndo unasikia ana masharti.
Lakini ukiwa master huwezi limitiwa na miroho bali wewe ndo utaicontrol.
Kuna wakati watu wanashindwa kuueleza ukweli wa mambo kwani ukisema ueleze unaonekana mchawi kulingana na dhana tuliyoaminishwa tokea udogoni na katika nyumba za ibada.
Shukran mkuu kwa ufafanuzi mkubwa..shida ya Sasa ni kwamba watu Wana "Nia" ya kujua mambo haya ama kuingia sababu kila mtu ana uhuru wa "kuchagua" Imani aitakayo ...ndio mana Kuna waabudu mabudha n.k..ila kumekua na matapeli wengi sana na watu bila kuona mbwembwe za mhusika wanajua ni feki..
Noted mkuu na baada ya kuina nafanyaje nisione tenaWatu tulishaandika nyuzi zikawa zinafutwa humu.
Anyway wataka kujua ulimwengu wa giza!
Njia nyepesi:
Unamjua paka? Nyau sharti awe mweusi fanya upate macho yake yakaushe yasione jua yakikauka saga yawe unga kisha usiku wa giza jipaka unga ule kwenye kope basi mkuu utaone viumbe wa ajabu kisha uliza chochote unachotaka watakujibu very easy.
Onyo,
Haishauriwi kuona ulimwengu wa giza kama hujafikisha umri wa 40yrs maana utakachoona unaweza kuwa mwehu mazimaa.
Ukisha pata majibu nawa uso.Noted mkuu na baada ya kuina nafanyaje nisione tena
ππWatu tulishaandika nyuzi zikawa zinafutwa humu.
Anyway wataka kujua ulimwengu wa giza!
Njia nyepesi:
Unamjua paka? Nyau sharti awe mweusi fanya upate macho yake yakaushe yasione jua yakikauka saga yawe unga kisha usiku wa giza jipaka unga ule kwenye kope basi mkuu utaone viumbe wa ajabu kisha uliza chochote unachotaka watakujibu very easy.
Onyo,
Haishauriwi kuona ulimwengu wa giza kama hujafikisha umri wa 40yrs maana utakachoona unaweza kuwa mwehu mazimaa.
Nakumbuka niko Chuo nyuzi zako ndo zimenifanya nizunguke Tz kuitafuta Elimu hii.Kuna namna ya kuziandika ili usionekane unatafuta fursa.. Mwanzoni hazikuwq na restriction... Lakini baada ya watu kulizwa sana ndio ikabidi zitupiwe jicho kali
Uchafu tuWatu tulishaandika nyuzi zikawa zinafutwa humu.
Anyway wataka kujua ulimwengu wa giza!
Njia nyepesi:
Unamjua paka? Nyau sharti awe mweusi fanya upate macho yake yakaushe yasione jua yakikauka saga yawe unga kisha usiku wa giza jipaka unga ule kwenye kope basi mkuu utaone viumbe wa ajabu kisha uliza chochote unachotaka watakujibu very easy.
Onyo,
Haishauriwi kuona ulimwengu wa giza kama hujafikisha umri wa 40yrs maana utakachoona unaweza kuwa mwehu mazimaa.
Porojo tu ukweli wa mambo sio huo kile ni kiini macho tu.Matajiri hawataki kusikia kuhusu "misukule ".
Ok Chief.Uchafu tu
Ndio hapo napojiuliza kwanini zifutwe..sababu Kuna maslahi flan yataguswa ya kwao wakijuaa ukweli ndio mana wanapata maelekezo ziondoleweWatu tulishaandika nyuzi zikawa zinafutwa humu.
Anyway wataka kujua ulimwengu wa giza!
Njia nyepesi:
Unamjua paka? Nyau sharti awe mweusi fanya upate macho yake yakaushe yasione jua yakikauka saga yawe unga kisha usiku wa giza jipaka unga ule kwenye kope basi mkuu utaone viumbe wa ajabu kisha uliza chochote unachotaka watakujibu very easy.
Onyo,
Haishauriwi kuona ulimwengu wa giza kama hujafikisha umri wa 40yrs maana utakachoona unaweza kuwa mwehu mazimaa.
βπΏππΏππΏππΏ asante sana.. Ila sasa nimestaafu naandika fantasy zaidiNakumbuka niko Chuo nyuzi zako ndo zimenifanya nizunguke Tz kuitafuta Elimu hii.
Nakujeshimu sanaa umenifanya within 5yrs nimepiga kitabu juu ya ulimwengu wa giza nauelewa now well.