Kwanini madada wa CRDB wamepunguza maringo?

Yale mambo ya KUDROO kamilioni, then unajifanya huna muda wa kuihesabu ili uhakiki....zilikuwa ni mbwembwe tu. Siku hizi watu wanafanya transaction za vulaki....Cashier anatolewa macho mwanzo mwisho...na pesa unahakiki mara mbilimbili...Kwa mtindo huu NYODO ZITAWAISHA TUU...Shikamoo mr JPM....Nilikuwa sijakuamkia....
 
kuna ushindani mkubwa sana wa bank kwenye industry ya bank so wateja wanabembelezwa so as uweze kumfanya asihamie bank nyingine...mind you bank nyingi zimekua kubwa kwa sababu ya udhaifu na kutojali wateja wa hizi bank mbili KUBWA NMB na CRDB.
 
Eti eeeh waendelee kuachia tu
 

Mmeshawekewa mkopo chuoni ??
 

haina uhusiano bwana, ata kama watakumbwa na lay off wataendelea kuishi cz thats their life..kukukarimu usiwachukulie poa
 
Mbana sister mmoja aliachika kwa mumewe sasa anajengewa nyuma labda hela zimekula kona tu
 
Wadada wengi (siyo wote)ni wauzaji wa **** (uchi) na wanaume tuliowengi ni wanunuaji wazuri sana so ukiona unahongwa usijidanganye maana unanunuliwa wewe tu unabadilisha maneno
 
Kuna dalili CRDB kupunguza wafanyakaz mana kampuni haiwez kujiendesha kwa hasara, kwaio anatafuta pakukimbilia akikosa kule kwennye deni la 2 Bil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…