Kwanini madada wa CRDB wamepunguza maringo?

Yale mambo ya KUDROO kamilioni, then unajifanya huna muda wa kuihesabu ili uhakiki....zilikuwa ni mbwembwe tu. Siku hizi watu wanafanya transaction za vulaki....Cashier anatolewa macho mwanzo mwisho...na pesa unahakiki mara mbilimbili...Kwa mtindo huu NYODO ZITAWAISHA TUU...Shikamoo mr JPM....Nilikuwa sijakuamkia....
 
kuna ushindani mkubwa sana wa bank kwenye industry ya bank so wateja wanabembelezwa so as uweze kumfanya asihamie bank nyingine...mind you bank nyingi zimekua kubwa kwa sababu ya udhaifu na kutojali wateja wa hizi bank mbili KUBWA NMB na CRDB.
 
mimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
Eti eeeh waendelee kuachia tu
 
mimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe

Mmeshawekewa mkopo chuoni ??
 
Kuna madada wawili watatu nawajua ambao walikuwa na maringo balaa siku za nyuma lkn oversudden nawaona wanabadilika kwa kasi ya 4G.
1.Mfano kuna mmoja nilisoma nae siku za nyuma,alikuwa montress alikuwa hanipendi balaa yaani kwa siku alikuwa ananiandika mara tatu swahili speaker lkn cha ajabu jana ananitumia txt eti MSAGA SUMU hivi unajua nilkuwa nakukubali tokea siku ya kwanza.
2.kuna dada mwingine alikuwa CRDB kijitonyama kaunta,niliwahi kumuomba chenji ya buku 10,aisee aliniangalia jicho baya halafu akaniambia niende kwenye ATM kuchukua chenji, basi leo nimeenda na mishe zangu zingine ile kuniona tu akaniwahi kaka unahitaji chenji? Niksema tayari nimeisha chenji kwenye ATM.
Wadau hii hali inaweza kuwa inasababishwa na hasara zinazopata hizo benki au vipi? Au ndo wanajua kuwa kuna layoff za maana inafuata so wanaanda mazingira mazuri ya sisi madalali kuuza magari yao ya mkopo?

Au kuna kitu kingine mimi sikijui?

haina uhusiano bwana, ata kama watakumbwa na lay off wataendelea kuishi cz thats their life..kukukarimu usiwachukulie poa
 
Mbana sister mmoja aliachika kwa mumewe sasa anajengewa nyuma labda hela zimekula kona tu
 
Wadada wengi (siyo wote)ni wauzaji wa **** (uchi) na wanaume tuliowengi ni wanunuaji wazuri sana so ukiona unahongwa usijidanganye maana unanunuliwa wewe tu unabadilisha maneno
 
Kuna madada wawili watatu nawajua ambao walikuwa na maringo balaa siku za nyuma lkn oversudden nawaona wanabadilika kwa kasi ya 4G.
1.Mfano kuna mmoja nilisoma nae siku za nyuma,alikuwa montress alikuwa hanipendi balaa yaani kwa siku alikuwa ananiandika mara tatu swahili speaker lkn cha ajabu jana ananitumia txt eti MSAGA SUMU hivi unajua nilkuwa nakukubali tokea siku ya kwanza.
2.kuna dada mwingine alikuwa CRDB kijitonyama kaunta,niliwahi kumuomba chenji ya buku 10,aisee aliniangalia jicho baya halafu akaniambia niende kwenye ATM kuchukua chenji, basi leo nimeenda na mishe zangu zingine ile kuniona tu akaniwahi kaka unahitaji chenji? Niksema tayari nimeisha chenji kwenye ATM.
Wadau hii hali inaweza kuwa inasababishwa na hasara zinazopata hizo benki au vipi? Au ndo wanajua kuwa kuna layoff za maana inafuata so wanaanda mazingira mazuri ya sisi madalali kuuza magari yao ya mkopo?

Au kuna kitu kingine mimi sikijui?
Kuna dalili CRDB kupunguza wafanyakaz mana kampuni haiwez kujiendesha kwa hasara, kwaio anatafuta pakukimbilia akikosa kule kwennye deni la 2 Bil
 
Back
Top Bottom