Kwanini madada wa CRDB wamepunguza maringo?

Kwanini madada wa CRDB wamepunguza maringo?

unaonga ili iweje, au upate nini!

Na kwanini ujiweka kuhongwa hongwa..! Hujiwezi, huna akili timamu, wewe ni cheap, wewe ni bidhaa.. kwanini ukubali kuhongwa...? Nakuuliza wewe Miss Nafatufa
sio kuhonga wanatoa ufadhili
 
Wanaandaa mazingira ili siku na wao wakifilisika waonekane kawaida.
 
Ukishusha bei nicheki.😱
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] you made my day Mkuu, ungekuwa karibu ningekuagizia angalau moja ya baridi utulize koo
 
Back
Top Bottom