Kwanini madada wa CRDB wamepunguza maringo?

Kwanini madada wa CRDB wamepunguza maringo?

mimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
Rejea Uzi wako wa kusaidia wasichana wazuri wa chuo, ama kweli una kaofsi ka kuuza sambusa sio bure,
 
hakuna shida mtu wangu! Hata mimi nakulaga (in Kenyan voice)
Wadada wengi (siyo wote)ni wauzaji wa **** (uchi) na wanaume tuliowengi ni wanunuaji wazuri sana so ukiona unahongwa usijidanganye maana unanunuliwa wewe tu unabadilisha maneno
Ya papuch
ume pata lunch kwanza?
takuchemeaaaa kwa bibi
Mm najua una taka sema unaogopa..mm siondoki nayo nkimaliza una ondoka nayo mwenyewe
chitakiiii
Acha uoga ..njoo uku uchukue askilimu ya maziwa
Mapepo, maporomoko, you bushes
 
mimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
Wanawake hawawezi kuisoma namba,na ndo maana huwa mnatuharibia sana kura.........ila mtapasua sana misamba
 
mimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
hahahahahahaahah
 
Crdb wamefungua academy yao pale mikocheni ambapo kila staff anapaswa kujifunza customer care. Kuna wahindi wanafundisha pale walinidokeza kuwa in few months wanaintransform crdb kuwa best bank in Tanzania. Yaweza kuwa sababu, ila pia na uchumi umebana lazma wabembeleze deposit. Kuhusu wadada kuwa na hali ngumu sijui kwa kuwa hata benki yoyote ishukeje salary haishuki. Mm naendelea kuimba hatunywi sumu hatijinyongi ccm mbele kwa mbele! Ah ah KILA MTU ANAISOMA NAMBA!!
 
Issue gani tena? Mimi nilikua kushusha engine wiki 2 zilizopita
Neno kushusha Engine maana yake ni kutoa mimba kubwa.... sasa ndo unamaanishaa umechomoaaa mimba kubwa au...?????
 
Neno kushusha Engine maana yake ni kutoa mimba kubwa.... sasa ndo unamaanishaa umechomoaaa mimba kubwa au...?????
Hujakua ukikua utaelewa! Kamuulize mama yako kama kushusha engine ni nini!?
Ni kweli nimeshusha na nafurahia kushusha salama.
 
Kuna madada wawili watatu nawajua ambao walikuwa na maringo balaa siku za nyuma lkn oversudden nawaona wanabadilika kwa kasi ya 4G.

1.Mfano kuna mmoja nilisoma nae siku za nyuma,alikuwa montress alikuwa hanipendi balaa yaani kwa siku alikuwa ananiandika mara tatu swahili speaker lkn cha ajabu jana ananitumia txt eti MSAGA SUMU hivi unajua nilkuwa nakukubali tokea siku ya kwanza.

2. Kuna dada mwingine alikuwa CRDB kijitonyama kaunta,niliwahi kumuomba chenji ya buku 10,aisee aliniangalia jicho baya halafu akaniambia niende kwenye ATM kuchukua chenji, basi leo nimeenda na mishe zangu zingine ile kuniona tu akaniwahi kaka unahitaji chenji? Nikisema tayari nimeisha chenji kwenye ATM.

Wadau hii hali inaweza kuwa inasababishwa na hasara zinazopata hizo benki au vipi? Au ndo wanajua kuwa kuna layoff za maana inafuata so wanaanda mazingira mazuri ya sisi madalali kuuza magari yao ya mkopo?

Au kuna kitu kingine mimi sikijui?
Sio utani, huwa wakikaa kwenye vile vidirisha wanaona kama wameibeba dunia na kila anayekuja ni kenge tu kazi nzuri na za maana ni za kwao tu duniani.
 
Hujakua ukikua utaelewa! Kamuulize mama yako kama kushusha engine ni nini!?
Ni kweli nimeshusha na nafurahia kushusha salama.
Km ulimaanisha kujifunguaa.. hukutumia lugha nzurii... next time tumia maneno ya busara... unajua wewe n mtu mzima kbsaa aisee.. neno kushusha engine ni kutoaa mimba... afu huwez ukamwitaa mtoto wako engine.. yaan mtoto wako awe engine dahhh si vyema kbsaaa.....
 
Kwaiyo unataka kuniambia mfano Mwanaume akikwambia kushusha Mashine ni kufanya nini......!?? Kama hujui kaa kimya niliyemwambia ameelewa, utu uzima wangu huu nimesikia mengi na siwez kuongea baya la kunidharirisha mwenyewe, hivi kama kushusha engine ni kutoa kimba na kuchomoa utaitaje?
 
Yote sawa kuchomoa na kushusha Engine. .. narudia tena mtoto wako sio engine. .. futa kauli kbsaa tena mtake radhii
 
Back
Top Bottom