Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utuambie pia tofauti na kutuliza maumivu kwa haraka lakino kuna hali nyingine huipata dakika 10 - 15 toka umeze hedex.Sijawahi kuona popote Headex ikiandikwa kama dawa ya kushusha homa licha ya ubora wake na ni combination nzuri ya NSAIDS?
Binafsi Headex ndio dawa ninayoitumia.
Hakuna hali yoyote inayonitokea ,nikimeza napata unafuu wa moja kwa moja tofauti na paracetamol .Nikimezaga paracetamol kwanza lazima nizidiwe kwa muda kabla ya kukaa sawaUtuambie pia tofauti na kutuliza maumivu kwa haraka lakino kuna hali nyingine huipata dakika 10 - 15 toka umeze hedex.
Je ni hali gani huzipata ?
Nahisi hizo ni baadhi za sababu za hiyo kitu kuto kuwa prescribed na mamlaka za tiba
Hedex na paracetamol ni tofauti.Hedex ni jina la biashara (brand name) ,hiyo pamoja na Panadol zote hizo jina lake halisi ni Paracetamol .Hivyo dr atakuandikia jina lake halisi na si jina la biashara
Hedex na paracetamol ni tofauti.
Hedex ni combinations ya drugs(dawa 3) ikiwemo hiyo paracetamol, ni sawa na amoxicillin na amoxyclav (amoxicillin na clavulanic acid) ni dawa mbili tofauti.