Kwanini Madaktari wengi wahuni?

Kwanini Madaktari wengi wahuni?

Matokeo ya generationZ Hayo🤣🤣🤣🤣

Generation Z wana balaa. Kuna dogo mtaalamu wa IT anajua balaa mambo ya kutengeneza app na website ana virasta katoboa masikio hereni. Alikuja NMB kwenye meeting akiwakilisha kampuni yake watu wanamshangaa.

Muhuni muhuni ila ana bonge la CV na bonge la portofolio kwenye IT.
 
Back
Top Bottom