Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
Asante Bubu nimekuelewa,unajua tena haya mambo ya kuwa na mwanaume mmoja au kuanza haya mambo ukubwani,huwezi jua tofauti,kumbe kuna watu wako hivyo mmmmh,itabidi nitafute nifanye experiment manake siku za ujana wangu zinaisha hivi hivi...............lol