Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

hiden

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
376
Reaction score
691
Aisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?

Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.

Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.

Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!

Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom