Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Ukiwaambia watumie id original mbona watapoteana wengi wao sura zao kama sokwe, ndo maana wanatumia id za wanawake udongo wa makka,alfu jitu linashoboka kwenda kutongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu JF hakuna madem, only smart girls are here.

Sasa hao madem washinda IG wapenda ubuyu hawawezi mikiki ya kushindana kihoja JF

invest what you are willing to lose
Kula LIKE

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Pambana mkuu huku kuna wanawake wasiojulikana wasupaa balaa, ukijitahidi kidogo utawaona
 
Jf..ni great thinkers tu..toka lini demu mzuri akawa ni great thinker??hahahaahaa wengi wao ni wababaishaji ..big up kwa madem wabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom