ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani sikuonagi ukiitaja..mimi nakausha tu...nakuonaga nanyamaza tuJf sio popular kwakweli, sijui kwanini, hata ninapofanyia kazi nikizungumzia jf hawanielewi.
Ila mkuu mbona kama umetutupia dongo sie tulofanana na babu zetu!!
Vichwa ndio tupo huku, sura na shepu utazipata fb na instagram
Ninakuhitaji[emoji8] [emoji8] [emoji503]Hata mi nashanga ninapo fanyia kazi tuko Kama wawili wenye app ya JF alafu huyu mwenzangu haja ji register mpaka najilizaga hili swali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauwezi ukawa mfanyakazi mwenzangu.Unadhani sikuonagi ukiitaja..mimi nakausha tu...nakuonaga nanyamaza tu
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Huenda labda hawaipendi au ukute wamenogewa na Insta, Fb au Snapchat kuuza sura tofauti na huku ambapo hamna kuuza sura, ni mwendo wa hoja juu ya hoja na ushauriAisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?
Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.
Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.
Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!
Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unatetemeka...nipost picha yako hapa?? sema suuHauwezi ukawa mfanyakazi mwenzangu.
Mimi ndio ninakwambia, hauwezi ukawa mfanyakazi mwenzangu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unatetemeka...nipost picha yako hapa?? sema suu
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
W A P ONasikiaga et humu kuna wanaume wenye id na avatar za kike wala hakuna mademu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikukaushie kwa leo.....Mimi ndio ninakwambia, hauwezi ukawa mfanyakazi mwenzangu.
[emoji3] [emoji3] haswaaaVichwa ndio tupo huku, sura na shepu utazipata fb na instagram
Wewe una utani na shushushu VIPNasikiaga et humu kuna wanaume wenye id na avatar za kike wala hakuna mademu
Sent using Jamii Forums mobile app
ebu muwekee picha yako hapa ajionee warembo jei efu
povu 😀 😀 😀![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Nasikiaga et humu kuna wanaume wenye id na avatar za kike wala hakuna mademu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujipa moyo.Vichwa ndio tupo huku, sura na shepu utazipata fb na instagram
watu wanaopenda umbea umbea kupost post picha wamebinua makalio afu wenye exposure ndogo huwezi kuwakuta kwenye serious forums kama huku.
Vichwa ndio tupo huku, sura na shepu utazipata fb na instagram