Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Vichwa ndio tupo huku, sura na shepu utazipata fb na instagram
ef7e463154dfc0b21a054ab02c0c5865.jpg


Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Aisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?

Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.

Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.

Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!

Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda labda hawaipendi au ukute wamenogewa na Insta, Fb au Snapchat kuuza sura tofauti na huku ambapo hamna kuuza sura, ni mwendo wa hoja juu ya hoja na ushauri



Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Back
Top Bottom