Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Huku wapo mademu wanaojielew tu na sio wakali asilimia kubwa hata shuleni walikuwa safi sana kimasomo, Huku wachache sana wenye zero. na unajua mademu wakali wengi wao necta walizungusha viuno
Wanaeza wakawa wengi ila japo wamegusa form four
 
Jf ni kwa watu maarum sana
Zingatia "MAARUM SANA " wengi waliopo jf ni watu special frani.




Nb: utafiti wako hata mimi nimeufanya ila mimi haikuwa kwa mademu tu wakwangu uligusa watu ote.
 
Mkuu hao hawajui Jf coz hku hakuna show off za at Serena hotel enjoying the weekend wala at at Jk Airport.
This is Jf bhna.
 
Sema zile picha za leo umetokea mcuteee. Sijui umezipiga wapi. Ntumie moja kwanza niweke status. Afu ungetuma na picha tuamini kuna maduu wakali kweli au wite sura za baba zetu
asanteeeee,,,, hapa kijiweni kwanguuu nimepigia.....ntakutumia hahahah........... ntatuma we muache mwenye uzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…