Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kwanini mkuu?Hapo tu ndo napokupendeaga mzigua90
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu?Hapo tu ndo napokupendeaga mzigua90
Wanaeza wakawa wengi ila japo wamegusa form fourHuku wapo mademu wanaojielew tu na sio wakali asilimia kubwa hata shuleni walikuwa safi sana kimasomo, Huku wachache sana wenye zero. na unajua mademu wakali wengi wao necta walizungusha viuno
Haiwezekani wote tuwe warembo lakini bby.Ebu watake radhi dada zetu wa jf.
Ni kweli mpenzi haiwezekani wote muwe warembo lakini wakinadada ambao nawajua in person ambao wapo jf ni good looking, wewe ukiwa mmojawao hny.Haiwezekani wote tuwe warembo lakini bby.
eeeeeh unawazaa hahahaUjue jamii JF ukiisikia kama unapata habari za kisiasa tu kuna Watu awapendi siasa kumbe humu kuna kugegeda humu kuna papachu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaaaaHuku wapo mademu wanaojielew tu na sio wakali asilimia kubwa hata shuleni walikuwa safi sana kimasomo, Huku wachache sana wenye zero. na unajua mademu wakali wengi wao necta walizungusha viuno
Thanks honey ila si wajua uzuri wa mtu uko kwa mtu eeh. Waeza ukaniona niko vizuri kwa mwingine nikawa mbaya tuNi kweli mpenzi haiwezekani wote muwe warembo lakini wakinadada ambao nawajua in person ambao wapo jf ni good looking, wewe ukiwa mmojawao hny.
Jf ni kwa watu maarum sana
Zingatia "MAARUM SANA " wengi waliopo jf ni watu special frani.
Nb: utafiti wako hata mimi nimeufanya ila mimi haikuwa kwa madem tu wakwangu uligusa watu ote.
Mwangu eti na wewe sio mkali
Ulikua maarumu tu kwa watu wa humu ila nabaki na majibu yangu maarumu
usinipambanishe nsije tuma picha bureeMwangu eti na wewe sio mkali
nachekaaaaUlikua maarumu tu kwa watu wa humu ila nabaki na majibu yangu maarumu
Sema zile picha za leo umetokea mcuteee. Sijui umezipiga wapi. Ntumie moja kwanza niweke status. Afu ungetuma na picha tuamini kuna maduu wakali kweli au wite sura za baba zetuusinipambanishe nsije tuma picha buree![]()
![]()
![]()
hahahahahaha
Mkuu hao hawajui Jf coz hku hakuna show off za at Serena hotel enjoying the weekend wala at at Jk Airport.Aisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?
Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.
Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.
Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!
Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheka tu mtu special frani yaani maarumunachekaaaa
asanteeeee,,,, hapa kijiweni kwanguuu nimepigia.....ntakutumia hahahah........... ntatuma we muache mwenye uzi huuSema zile picha za leo umetokea mcuteee. Sijui umezipiga wapi. Ntumie moja kwanza niweke status. Afu ungetuma na picha tuamini kuna maduu wakali kweli au wite sura za baba zetu