hizi zote ni gharama, waki compensate kwa kupandisha bei ya chakula, wewe utakimbiakutumia sabuni kali na zenye harufu kali kufutia meza zao, kudekia, kuosha vyoo pamoja na kuoshea vyombo
hotel kubwa kila wiki hufanya kupulizia dawa so mwenye mtaji mdogo unafikiri rahisi..?Wanazuilika, hotel kubwa nyingi wanazodumisha usafi nzi huwa hakuna kabisa au wachache sana.
Typo.nzi sio mzi
Ni gharama kubwa kuwaondoa kwa kufanya hayo mazingira kuwa safi muda wote.Wanazuilika, hotel kubwa nyingi wanazodumisha usafi nzi huwa hakuna kabisa au wachache sana.
Una uhakika kuwa hao ni nnzi? Wasije akina Mshana wakakucheka hapa bure 🤔🤸😄Kwenye maeneo mengi ya biashara za vyakula hasa migahawa ya ukubwa wa kati na midogo pamoja na sehemu nyingi za nyama huwa kunakuwa na nzi wengi sana waliojaa kila mahali. Yani mtu unakula chakula na mkono mmoja huku mwingine una kazi ya kufukuza nzi! Kama wewe sio mvivu na hupendi nzi, kwa wale wavivu wa kufukuza nzi wao huwa wanaachia tu nzi na kula nao chakula pamoja.
Hawa wanaouza vyakula katika haya maeno kipi huwa kinawashinda kutumia sabuni kali na zenye harufu kali kufutia meza zao, kudekia, kuosha vyoo pamoja na kuoshea vyombo ili kudhibiti nzi??
Wa kijani akitua wakati unakula lazima hamu ya msosi ikateWabaya hasa ni wale wa kijani
Nikweli mkuu lakini pia si kweli.Wanazuilika, hotel kubwa nyingi wanazodumisha usafi nzi huwa hakuna kabisa au wachache sana.