Twinawe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 2,431
- 5,336
Nalizungumza hili kwa experience sababu namimi ni mtumishi wa umma. Magari mengi ya watu binafsi utasikia kila siku garage trip kidogo gari lazima lipate hitilafu.
HI ni tofauti hizi gari za serikali zinafanya kazi sana lakini huwezi kisikia kila siku lipo garage utakuta mara nyingi ni service za kawaida labda kumwaga oil kila baada ya km kadhaa.
Haya magari yetu yanakuaga na shida gani?