Kwanini magari mengi ya serikali hayaharibiki sana ukilinganisha na magari ya watu binafsi japokua yapo road kila siku?

Kwanini magari mengi ya serikali hayaharibiki sana ukilinganisha na magari ya watu binafsi japokua yapo road kila siku?

Wananunua magari mapya aisee.

Serikali yetu ni tajiri sana.
In fact kuna sera ya serikali inayokataza kununua vitu second hand, vya mtumba. Hata ununuaji wa baadhi ya vichwa na mabehewa ya SGR kutoka Germany ulikiuka sheria hii, ila ilibidi ipindishwe "kwa manufaa ya wananchi". Ila sasa, ukiangalia bei waliyonunulia hivyo vichwa na mabehewa mtumba, unajiuliza kwa nini wasinunue mapya! Nchi hii usione watu wa serikali ni matajiri sana. Tunapigwa mno!
 
Msamehe kijana inawezekana hajui, umempiga na kitu kizito sana.

Hata yeye angenunua brand new angeona tofauti.
Tunatofautiana sana uelewevu wa mambo humu JF. Ila nimegundua jambo moja, wale wenye ufahamu wa chini sana mara nyingi ndio wabishi na wanaojifanya wajuaji sana! Unakuta wamemkomalia professor na thread yake kwamba hajui kitu!
 
Kwanini hapo mtaani kwenu vijana wanaendesha boda muda mrefu kuliko wazee? Mzee anayeendesha boda miaka mitatu au minne tu unaona kaacha kwanini?
 
Gari linanunuliwa zero kilometer,na makaratasi kabisa,utafananisha na gari unaloambiwa km 80,000,kumbe wamechezesha limetembea km hata laki tano huko
Mkuu 80,000 km tunajipa moyo halijatembea sana, watu wanavuta chuma kimeenda 140,000 km unaambiwa injini ndio inakuwa imefunguka vizuri😁
 
Tumia common sense tu kijana.
Magari ya serikali kwa sheria lazima yawe mapya, tena mapya kabisa.
Na life span ya kimahesabu ya kihasibu, gari la serikali ni 25% deterioration per year ,kwa hiyo baada ya 4 years lazima liuzwe au kuwekwa pembeni.

Magari ya watu binafsi yanayoagizwa Japan na kwingineko, 90% au zaidi yana miaka 8 hadi 10 barabarani, hivyo huwa yamechakaa.
Kila siku kitu kina kufa na kinahitaji kubadilishwa kwa vile moving part zimesha wear out.
Ndo hivyo kijana.
Ila hio depreciation rate ya 25% mbona kubwa sana kwann wasingeweka 15% kwa kuwa wana service kwa vifaa OG au unasemaje boss.? Au ndio yale maswala ya upigaji wa minada
 
Nalizungumza hili kwa experience sababu namimi ni mtumishi wa umma. Magari mengi ya watu binafsi utasikia kila siku garage trip kidogo gari lazima lipate hitilafu.

HI ni tofauti hizi gari za serikali zinafanya kazi sana lakini huwezi kisikia kila siku lipo garage utakuta mara nyingi ni service za kawaida labda kumwaga oil kila baada ya km kadhaa.

Haya magari yetu yanakuaga na shida gani?
Kwamba unajitoa ufahamu,hujui kuwa Huwa hamzingatii service?
 
Ila hio depreciation rate ya 25% mbona kubwa sana kwann wasingeweka 15% kwa kuwa wana service kwa vifaa OG au unasemaje boss.? Au ndio yale maswala ya upigaji wa minada

Tena nilikosea mkuu, kwa sasa hivi deppreciation rate ya vifaa kama magari madogo serikalini yanayobeba chini ya watu 30, ni 37.5%.
Wahasibu watanisaidia hapa.
Source TRA : THE INCOME TAX ACT, CAP.332 PRACTICE NOTE DEPRECIATION ALLOWANCE FOR DEPRECIABLE ASSETS.
4.4 Classification of Depreciable Assets, Depreciation Rates and Methods
 
Nalizungumza hili kwa experience sababu namimi ni mtumishi wa umma. Magari mengi ya watu binafsi utasikia kila siku garage trip kidogo gari lazima lipate hitilafu.

HI ni tofauti hizi gari za serikali zinafanya kazi sana lakini huwezi kisikia kila siku lipo garage utakuta mara nyingi ni service za kawaida labda kumwaga oil kila baada ya km kadhaa.

Haya magari yetu yanakuaga na shida gani?
Sio kweli fika TEMESA na yard nyingi za serikali mamia ya magari yako juu ya vigogo. Na shida moja kubwa ni uzembe kutojali na kuajiri madereva kwa vimemo
 
Sio kweli fika TEMESA na yard nyingi za serikali mamia ya magari yako juu ya vigogo. Na shida moja kubwa ni uzembe kutojali na kuajiri madereva kwa vimemo
Nachomanisha gari ya serikali inaweza piga root ndefu mfululozo husikii imepata hitilafu kubwa ila kwa gari zetu majumbani trip ndogo tu ya dar moshi gari lazima ikatibiwe
 
Back
Top Bottom