Ki IST Changu nadhan walikiroga. Nlikiuza nkavuta Passo, wakakiroga tena. Nliiuza nikajichanga nkavuta Subaru impreza.Nalizungumza hili kwa experience sababu namimi ni mtumishi wa umma.
Magari mengi ya watu binafsi utasikia kila siku garage trip kidogo gari lazima lipate hitilafu.
HI ni tofauti hizi gari za serikali zinafanya kazi sana lakini huwezi kisikia kila siku lipo garage utakuta mara nyingi ni service za kawaida labda kumwaga oil kila baada ya km kadhaa.
Haya magari yetu yanakuaga na shida gani?
Tumia common sense tu kijana.Nalizungumza hili kwa experience sababu namimi ni mtumishi wa umma.
Magari mengi ya watu binafsi utasikia kila siku garage trip kidogo gari lazima lipate hitilafu.
HI ni tofauti hizi gari za serikali zinafanya kazi sana lakini huwezi kisikia kila siku lipo garage utakuta mara nyingi ni service za kawaida labda kumwaga oil kila baada ya km kadhaa.
Haya magari yetu yanakuaga na shida gani?
Gari unainunua japan ina 70k km. Serikali inanunua gari 0km na inaitumia miaka 5 au 7 inaleta lingine. Wewe unanunua gari lina 70000 km lishatumika zaidi ya miaka 10, na wewe unaendelea hapo unategemea nini.Nalizungumza hili kwa experience sababu namimi ni mtumishi wa umma.
Magari mengi ya watu binafsi utasikia kila siku garage trip kidogo gari lazima lipate hitilafu.
HI ni tofauti hizi gari za serikali zinafanya kazi sana lakini huwezi kisikia kila siku lipo garage utakuta mara nyingi ni service za kawaida labda kumwaga oil kila baada ya km kadhaa.
Haya magari yetu yanakuaga na shida gani?
Haurogwi ila hutunzi, fanya service on time bro acha kona konaKi IST Changu nadhan walikiroga. Nlikiuza nkavuta Passo, wakakiroga tena. Nliiuza nikajichanga nkavuta Subaru impreza.
Hii hawajairoga. Nadahn vigar vyetu vya bei chee vinarogwa toka vikiwa kiwandan
Serikali inanunua new brand hizi zetu ni used teyarNalizungumza hili kwa experience sababu namimi ni mtumishi wa umma.
Magari mengi ya watu binafsi utasikia kila siku garage trip kidogo gari lazima lipate hitilafu.
HI ni tofauti hizi gari za serikali zinafanya kazi sana lakini huwezi kisikia kila siku lipo garage utakuta mara nyingi ni service za kawaida labda kumwaga oil kila baada ya km kadhaa.
Haya magari yetu yanakuaga na shida gani?
Umemjibu vema sana. Lilikuwa ni suala la yeye kufikiri kidogo tu. Magari ya serikali mara nyingi yanakuwa disposed baada ya miaka 5 kwa kuuzwa, wakati utakuta yeye alinunua gari binafsi yenye miaka zaidi ya 7! Kuna gari ambazo katika miaka 5 bado inakuwa chini ya warranty hata service yake ni bure.Hayo magari yenu ya mtumba utayafananisha na magari mapya ya serikali?,serikali hainunuagi mtumba ndio maana ina magari inama
Wanayauzaga kwa watu gani mbona minada haitufikii wakulungwa huku ukulungwaniUmemjibu vema sana. Lilikuwa ni suala la yeye kufikiri kidogo tu. Magari ya serikali mara nyingi yanakuwa disposed baada ya miaka 5 kwa kuuzwa, wakati utakuta yeye alinunua gari binafsi yenye miaka zaidi ya 7! Kuna gari ambazo katika miaka 5 bado inakuwa chini ya warranty hata service yake ni bure.
Kwa mfano, hajasikia kwamba maraisi wastaafu na wake zao watapewa gari mpya Landcruizer VX kila baada ya miaka mitano? Kwa nini miaka mitano?
Watu binafsi SIYO wote ni wanunuzi wa magari mitumba.Serikali magari mapya toka kiwandani.
Watu binafsi magari used, reconditioned, refurbished, e.t.c.
Serikali wakifanya service wanaweka spare genuine, mafuta na oil wanaweka premium hasa ya PUMA Energy ( zamani B.P).
Mara nyingi wanajiuzia. Yaani yule anaelitumia ndio analinunua. Ndio mtindo serikalini. Angalia kwa mfano nyumba za serikali za Oyesterbay zilipouzwa nani alinunua?Wanayauzaga kwa watu gani mbona minada haitufikii wakulungwa huku ukulungwani
Watu binafsi wanaonunua magari mapya nchini mara nyingi sana ni hawa wafanya biashara wakubwa na mafisadi wanasiasa na wakuu wa mashiria ya umma. Sio mtu wa maisha ya kawaida. Labda ni asilimia 15% tu ya Watanzania wanaonunua gari brand new.Watu binafsi SIYO wote ni wanunuzi wa magari mitumba.
Kama wewe ni mtu wa kusoma soma magazeti minada huwa ina tangazwa hukoWanayauzaga kwa watu gani mbona minada haitufikii wakulungwa huku ukulungwani
Msamehe kijana inawezekana hajui, umempiga na kitu kizito sana.Tumia common sense tu kijana.
Magari ya serikali kwa sheria lazima yawe mapya, tena mapya kabisa.
Na life span ya kimahesabu ya kihasibu, gari la serikali ni 25% deterioration per year ,kwa hiyo baada ya 4 years lazima liuzwe au kuwekwa pembeni.
Magari ya watu binafsi yanayoagizwa Japan na kwingineko, 90% au zaidi yana miaka 8 hadi 10 barabarani, hivyo huwa yamechakaa.
Kila siku kitu kina kufa na kinahitaji kubadilishwa kwa vile moving part zimesha wear out.
Ndo hivyo kijana.