MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Ukiliona ex gov car kwenye mnada ujue lilikuwa limechoka sana... Siku hizi wanachukua juu kwa juu.Kama wewe ni mtu wa kusoma soma magazeti minada huwa ina tangazwa huko
In fact kuna sera ya serikali inayokataza kununua vitu second hand, vya mtumba. Hata ununuaji wa baadhi ya vichwa na mabehewa ya SGR kutoka Germany ulikiuka sheria hii, ila ilibidi ipindishwe "kwa manufaa ya wananchi". Ila sasa, ukiangalia bei waliyonunulia hivyo vichwa na mabehewa mtumba, unajiuliza kwa nini wasinunue mapya! Nchi hii usione watu wa serikali ni matajiri sana. Tunapigwa mno!Wananunua magari mapya aisee.
Serikali yetu ni tajiri sana.
Tunatofautiana sana uelewevu wa mambo humu JF. Ila nimegundua jambo moja, wale wenye ufahamu wa chini sana mara nyingi ndio wabishi na wanaojifanya wajuaji sana! Unakuta wamemkomalia professor na thread yake kwamba hajui kitu!Msamehe kijana inawezekana hajui, umempiga na kitu kizito sana.
Hata yeye angenunua brand new angeona tofauti.
Kweli.Watu binafsi SIYO wote ni wanunuzi wa magari mitumba.
CMC Motors.Hv kibongo bongo kuna show room wanauza gari zero km?
SawaUchakavu
Mkuu 80,000 km tunajipa moyo halijatembea sana, watu wanavuta chuma kimeenda 140,000 km unaambiwa injini ndio inakuwa imefunguka vizuriπGari linanunuliwa zero kilometer,na makaratasi kabisa,utafananisha na gari unaloambiwa km 80,000,kumbe wamechezesha limetembea km hata laki tano huko
Mpe tano mama.Wananunua magari mapya aisee.
Serikali yetu ni tajiri sana.
Mtaa wa Azikiwe zipo.Hv kibongo bongo kuna show room wanauza gari zero km?
Ila hio depreciation rate ya 25% mbona kubwa sana kwann wasingeweka 15% kwa kuwa wana service kwa vifaa OG au unasemaje boss.? Au ndio yale maswala ya upigaji wa minadaTumia common sense tu kijana.
Magari ya serikali kwa sheria lazima yawe mapya, tena mapya kabisa.
Na life span ya kimahesabu ya kihasibu, gari la serikali ni 25% deterioration per year ,kwa hiyo baada ya 4 years lazima liuzwe au kuwekwa pembeni.
Magari ya watu binafsi yanayoagizwa Japan na kwingineko, 90% au zaidi yana miaka 8 hadi 10 barabarani, hivyo huwa yamechakaa.
Kila siku kitu kina kufa na kinahitaji kubadilishwa kwa vile moving part zimesha wear out.
Ndo hivyo kijana.
Inakuwa geresha tu ionekane sheria imefuatwa.Kama wewe ni mtu wa kusoma soma magazeti minada huwa ina tangazwa huko
Show room like Toyota,CMC ndio nyumbani kwa gari zero km. Mitumba utaipata kwenye YARD ZA MAGARIHv kibongo bongo kuna show room wanauza gari zero km?
Kwamba unajitoa ufahamu,hujui kuwa Huwa hamzingatii service?Nalizungumza hili kwa experience sababu namimi ni mtumishi wa umma. Magari mengi ya watu binafsi utasikia kila siku garage trip kidogo gari lazima lipate hitilafu.
HI ni tofauti hizi gari za serikali zinafanya kazi sana lakini huwezi kisikia kila siku lipo garage utakuta mara nyingi ni service za kawaida labda kumwaga oil kila baada ya km kadhaa.
Haya magari yetu yanakuaga na shida gani?
Ila hio depreciation rate ya 25% mbona kubwa sana kwann wasingeweka 15% kwa kuwa wana service kwa vifaa OG au unasemaje boss.? Au ndio yale maswala ya upigaji wa minada
Sio kweli fika TEMESA na yard nyingi za serikali mamia ya magari yako juu ya vigogo. Na shida moja kubwa ni uzembe kutojali na kuajiri madereva kwa vimemoNalizungumza hili kwa experience sababu namimi ni mtumishi wa umma. Magari mengi ya watu binafsi utasikia kila siku garage trip kidogo gari lazima lipate hitilafu.
HI ni tofauti hizi gari za serikali zinafanya kazi sana lakini huwezi kisikia kila siku lipo garage utakuta mara nyingi ni service za kawaida labda kumwaga oil kila baada ya km kadhaa.
Haya magari yetu yanakuaga na shida gani?
pia gari za serikali hazivuki mda wa service .Hayo magari yenu ya mtumba utayafananisha na magari mapya ya serikali?,serikali hainunuagi mtumba ndio maana ina magari imara
Nachomanisha gari ya serikali inaweza piga root ndefu mfululozo husikii imepata hitilafu kubwa ila kwa gari zetu majumbani trip ndogo tu ya dar moshi gari lazima ikatibiweSio kweli fika TEMESA na yard nyingi za serikali mamia ya magari yako juu ya vigogo. Na shida moja kubwa ni uzembe kutojali na kuajiri madereva kwa vimemo