Kwanini magari ya jeshi huwa hayafati sheria barabarani?

OC-CID

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
200
Reaction score
463
Naombeni mnijuze, kwanini magari ya jeshi mara nyingi huwa hayafati sheria za barabarani na hawashugulikiwi?
IMG_4952.jpeg
 
Heheee kwan hawajipendi, wenzako wana haraka zao ww trafik unaweka folen, polis mwenyewe anatuliza wenge sembuse trafik
Kuna picha moja nilionaga ile juntion ya ubungo, morgoro rd, gari la wajeshi limekaa kwenye folen almost lisaa afu trafik anaita magari yatokayo mjin morogor rd , kilichofata hapo trafiki kapewa kelebu za kutosha afu Mjeshi kaingia mwenyewe kzn kwa mda zen kasepa zake , hahaaaa nilicheka xana
 
mwenye nguvu..........

sikio halizidi.......
 
Heheee kwan hawajipendi, wenzako wana haraka zao ww trafik unaweka folen, polis mwenyewe anatuliza wenge sembuse trafik
Kuna picha moja nilionaga ile juntion ya ubungo, morgoro rd, gari la wajeshi limekaa kwenye folen almost lisaa afu trafik anaita magari yatokayo mjin morogor rd , kilichofata hapo trafiki kapewa kelebu za kutosha afu Mjeshi kaingia mwenyewe kzn kwa mda zen kasepa zake , hahaaaa nilicheka xana
Kupitia hii comment yako nimejua kumbe kuna trafiki na polisi
 
Jana dodoma nimekutana na nissan xtrail plate number imeandikwa SSH T2025.
Wakati mataa hayajaruhusu ila anaforce kuvuka.
 
SU,STL,STK,STH wenyewe hawafati sheria

Ova
 
Back
Top Bottom