Kwanini Magufuli alichukiwa ndani ya CCM?

Ukitumia nguvu zaidi kuliko akili ni ngumu kupendwa
 
1995 Lyatonga alishinda na huu ndio ukweli!
2010 Slaa alitoka hadharani wakati matokeo yanatangazwa akiwa na ushahidi kuwa matokeo ya urais yanayotangazwa na NEC ni tofauti na recodi walizo nazo kutoka majimboni.
 
Ninachojua CCM walitembea vifua mbele, tabia ya kuficha mashati yao ya kijani ilikoma!
 
Hivi mpk leo huamini kuwa ni marehemu?
 
Bora wezi ambao wanasababisha mzunguko wa pesa kuliko wezi wachache wanaoziba kabisa mzunguko
 
Unasema JPM msukuma?
Alikwambia nani?
 
Unasema JPM msukuma?
Alikwamnia nani?
Kwani hakuwa msukuma?

Japo mambo ya ukabila binafsi huwa siyazingatii sana.
Ila nadhani alikuwa wa kabila hilo kutokana na historia yake, lafudhi yake na hata kuzungumza!
 
Kweli kabisa
 
Kwani hakuwa msukuma?

Japo mambo ya ukabila binafsi huwa siyazingatii sana.
Ila nadhani alikuwa wa kabila hilo kutokana na historia yake, lafudhi yake na hata kuzungumza!
Wakimbizi waliokulia usukumani wana lafudhi hiyo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…