Uchaguzi 2020 Kwanini Magufuli anakubalika Kanda ya Ziwa tu

Dodoma saa hii kuna bonanza la wanamuziki nchi nzima linaendelea, na CCM tumejichomeka hapo!
Endelea kuota! Tarehe 28/10/2020 utajua kama CCM ni Chama Dume!
 
Aliye karibu na mleta uzi amshtue aamke tafadhali ndoto anayoota ni mbaya mno.
 
Mnajikita ktk vitu visivyo vya msingi na matokeo yake ndio nyomi la zarkiem
 
yes sio tv tu, na picha za malori yaliyobeba watu tumeziona.

CCM baba lao, ina mtaji wa wanachama na Wafuasi, mtaji wa wasomi na viongozi waliopikwa, mtaji wa rasilimali katika kila pembe ya nchi hii

Hivyo hata ikiamua watu waje mkutanoni kwa kutumia basi za Yutong na Marcopolo , inafanikisha bila tabu yoyote
 
Endelea kuota! Tarehe 28/10/2020 utajua kama CCM ni Chama Dume!
Tundu Lissu kawaambieni tarehe 28 October uchaguzi utafanyika pale tu wagombea wote wa upinzani walioenguliwa watakaporejeshwa kwenye kinyang'anyiro.

"vinginevyo tutalia wote" ametamka Kigaila, na anaonyesha yupo serious!
 
Tunawasubiri kwa hamu sana!!
 
Tundu Lissu kawaambieni tarehe 28 October uchaguzi utafanyika pale tu wagombea wote wa upinzani walioenguliwa watakaporejeshwa kwenye kinyang'anyiro.

"vinginevyo tutalia wote" ametamka Kigaila, na anaonyesha yupo serious!
Nawashauri wapinzani kuandaa mikutano ya kielimu zaidi. Mikutano iwe darasa zaidi. Kwa Sasa mikutano mingine wafanye kwa kushirikiano mfano Mbowe apande jukwaa la ACT na Zito apande jukwaa la Chadema lengo kutoa elimu taaratibu
 
CCM baba lao, ina mtaji wa wanachama na Wafuasi, mtaji wa wasomi na viongozi waliopikwa, mtaji wa rasilimali katika kila pembe ya nchi hii

Hivyo hata ikiamua watu waje mkutanoni kwa kutumia basi za Yutong na Marcopolo , inafanikisha bila tabu yoyote
Comrade hii fungulia thread yake.
 
CCM tuna pesa ulitaka wanachama wetu waende mikutanoni na miguu Kama wenu?
Sasa si mnewakodia mabasi?Aroli ni kwa ajili ya kubebea mizigo na ng'ombe.

Abood yupo, Shabiby yupo mwambieni watowe mabasi yao tena bure.
 
Usukuma
 
Sio lake zone yote bali ni mwanza ,geita ,simiyu.

Kagera hawataki

Mara hawamtaki

Shinyanga mjini, kahama mjini hawamtaki, the rest kidoooogo wanamsapot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…