Endelea kuota! Tarehe 28/10/2020 utajua kama CCM ni Chama Dume!Dodoma saa hii kuna bonanza la wanamuziki nchi nzima linaendelea, na CCM tumejichomeka hapo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuota! Tarehe 28/10/2020 utajua kama CCM ni Chama Dume!Dodoma saa hii kuna bonanza la wanamuziki nchi nzima linaendelea, na CCM tumejichomeka hapo!
yes sio tv tu, na picha za malori yaliyobeba watu tumeziona.
Tundu Lissu kawaambieni tarehe 28 October uchaguzi utafanyika pale tu wagombea wote wa upinzani walioenguliwa watakaporejeshwa kwenye kinyang'anyiro.Endelea kuota! Tarehe 28/10/2020 utajua kama CCM ni Chama Dume!
Tunawasubiri kwa hamu sana!!Tundu Lissu kawaambieni tarehe 28 October uchaguzi utafanyika pale tu wagombea wote wa upinzani walioenguliwa watakaporejeshwa kwenye kinyang'anyiro.
"vinginevyo tutalia wote" ametamka Kigaila, na anaonyesha yupo serious!
Nawashauri wapinzani kuandaa mikutano ya kielimu zaidi. Mikutano iwe darasa zaidi. Kwa Sasa mikutano mingine wafanye kwa kushirikiano mfano Mbowe apande jukwaa la ACT na Zito apande jukwaa la Chadema lengo kutoa elimu taaratibuTundu Lissu kawaambieni tarehe 28 October uchaguzi utafanyika pale tu wagombea wote wa upinzani walioenguliwa watakaporejeshwa kwenye kinyang'anyiro.
"vinginevyo tutalia wote" ametamka Kigaila, na anaonyesha yupo serious!
Comrade hii fungulia thread yake.CCM baba lao, ina mtaji wa wanachama na Wafuasi, mtaji wa wasomi na viongozi waliopikwa, mtaji wa rasilimali katika kila pembe ya nchi hii
Hivyo hata ikiamua watu waje mkutanoni kwa kutumia basi za Yutong na Marcopolo , inafanikisha bila tabu yoyote
Sasa si mnewakodia mabasi?Aroli ni kwa ajili ya kubebea mizigo na ng'ombe.CCM tuna pesa ulitaka wanachama wetu waende mikutanoni na miguu Kama wenu?
Kuna show za diamond dodomaAngalia TV saa hii
Comrade hii fungulia thread yake.
UsukumaNi wazi CCM mpya inatumia uharamia kushinda nafasi za ubunge na udiwani katika Kanda za Mashariki, Kusini, Kaskazini na visiwani kwa kujua wazi hawawezi kushinda kwenye box la kura.
Kanda ya ziwa hakujaripotiwa kiasi kikubwa Cha uhuni kwakua Magufuli na CCM mpya wanakubalika.
Sehemu zote zenye jamii ya Ntwmiship yaani Tabora, Shinyanga, Mwanza Geita huko Kuna mfanano wa lafudhi na lugha kiujumla. (Ethnicity)
Ni wazi pia maeneo haya yametumia Kodi kubwa zaidi ya wananchi kuliko maeneo mwngine. Mfano SGR, MELI MPYA, VIWANJA VYA NDEGE , BaRABARA, KUHAMIA DODOMA , REA nk.
Kwa jinsi maeneo haya yalivyoenziwa Chini ya kaulimbiu ya * Hawa ndio walionichagua* Basi huko ndiko pekee uchaguzi 2020 utakua reality.
Huku kwingine kwenye ukarabati wa reli ya zamani , mabehewa ya kale wenyewe wanajua itakuwa ngumu.
Sio lake zone yote bali ni mwanza ,geita ,simiyu.Ni wazi CCM mpya inatumia uharamia kushinda nafasi za ubunge na udiwani katika Kanda za Mashariki, Kusini, Kaskazini na visiwani kwa kujua wazi hawawezi kushinda kwenye box la kura.
Kanda ya ziwa hakujaripotiwa kiasi kikubwa Cha uhuni kwakua Magufuli na CCM mpya wanakubalika.
Sehemu zote zenye jamii ya Ntwmiship yaani Tabora, Shinyanga, Mwanza Geita huko Kuna mfanano wa lafudhi na lugha kiujumla. (Ethnicity)
Ni wazi pia maeneo haya yametumia Kodi kubwa zaidi ya wananchi kuliko maeneo mwngine. Mfano SGR, MELI MPYA, VIWANJA VYA NDEGE , BaRABARA, KUHAMIA DODOMA , REA nk.
Kwa jinsi maeneo haya yalivyoenziwa Chini ya kaulimbiu ya * Hawa ndio walionichagua* Basi huko ndiko pekee uchaguzi 2020 utakua reality.
Huku kwingine kwenye ukarabati wa reli ya zamani , mabehewa ya kale wenyewe wanajua itakuwa ngumu.
Acheni aende. Haki yake ya kikatiba. Hata arudie mara 20 ni haki yake yake ya msingi"hapa Mwanza hakuna kuvunja nyumba hata moja hata kama mmejenga barabarani kwakuwa nyie mmenipa kura nyingi sana"