Kwanini 'Mahausiboi' wakitembea na Wake za Watu huwa ni Wasiri, ila kwa 'Mahausigeli' hugundulika mapema na wenye Waume?

Kwanini 'Mahausiboi' wakitembea na Wake za Watu huwa ni Wasiri, ila kwa 'Mahausigeli' hugundulika mapema na wenye Waume?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Inakuwaje 'Houseboi' hata akiwa 'anakukanyagia' Mkeo bado atakuwa 'Msiri' Kwako mwenye Mke na tena kazi ataendelea Kuzifanya ila kwa 'Hausigeli' akishaanza tu 'Kutinduliwa' na Mume hawawezi Kujificha na atajulikana tu upesi na Mke wa Mhusika?

Nasubiri tu uzoefu wenu nijifunze zaidi.
 
Sababu kubwa ni moja tu, ma house boy ni wanaume na hulka ya wanaume ni kutunza siri. Na kwa ma house girl ni kinyume chake. Lakin zaidi ni kwamba, haouse boy hata akitembea na mama mwenye nyumba yeye atawaza apate pesa ili akitoka pale akafanye maisha yake labda na mwanamke mwingine. Lakini kwa house girl akitembea na baba mwenye nyumba na yeye anajiona ni mama mwenye nyumba mwenye haki sawa na yule aliemkuta, hapo atawaza mambo mengi ikiwepo kuitawala nyumba kwa kumtoa mke halali ili aolewe yeye. Kwa kifupi ni kwamba house girl akitembea na baba mwenye nyumba anaona maisha tayari ameshayapatia.
 
Wanawake ni watu wa kushindana. Mke humtambia housegirl kuwa yeye ndio mwanamke pale hakuna mwingine! (sio lazima iwe kwa maneno, hata matendo au jicho tu) Housegirl hutaka kuonyesha kwamba na yeye ni mwanamke ana uwezo wa kuwa na huyo mume!.. hapo ndipo kinapoumanaga...

Houseboy anajua uchungu wa kuchukuliwa mke! hivyo huchukua kwa adabu hata kama unamtesa hakuonyeshi na atazidi kukuonyesha heshima... siku ukimuuzi sana ndio hasira zake huzimalizia kwa mkeo kwa kusimamia dole gumba kabisaaaaaaa.... baadae anakuangalia tu roho yake imetuliaaaa
 
Wanawake wanabembeleza Sana wakijua jamaa akijua Tu afa Kwa hiyo huwa makin Sana akiogopa Sana kisasi cha mume

Wakati house girl yeye huwa anajua hakuna kisasi cha kumdhuru yeye . Lkn yeye pia hujiweka karibu ajulikane ili ampindue mama wa mji
 
Ke wengi hudharauliana

Ke wengi hawana kifua kipana kumudu kutunza siri

Ke wengi huwa hawapendani wao kwa wao

Ke wengi ni wambea sana

Ke wengi hupenda sifa na kujionesha kuwa wao ni bora kuliko ke mwenzao

Ke wengi huwa hawafikirii madhara ya jambo kabla halijatokea

Kwa me ni kinyume chake
 
Umemaliza kila kitu.
 
Inakuwaje 'Houseboi' hata akiwa 'anakukanyagia' Mkeo bado atakuwa 'Msiri' Kwako mwenye Mke na tena kazi ataendelea Kuzifanya ila kwa 'Hausigeli' akishaanza tu 'Kutinduliwa' na Mume hawawezi Kujificha na atajulikana tu upesi na Mke wa Mhusika?

Nasubiri tu uzoefu wenu nijifunze zaidi.
Mwanaume ni ngumu kusema au kumuonesha boss wake kuwa kampakua mkewe. Ila mademu wanakua na ile kujiona ww ni mke mwenza tu. Tukumbuke mke wa mtu kumzini ni jambo baya lakini mume wa mtu anaweza kuoa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom