Sababu kubwa ni moja tu, ma house boy ni wanaume na hulka ya wanaume ni kutunza siri. Na kwa ma house girl ni kinyume chake. Lakin zaidi ni kwamba, haouse boy hata akitembea na mama mwenye nyumba yeye atawaza apate pesa ili akitoka pale akafanye maisha yake labda na mwanamke mwingine. Lakini kwa house girl akitembea na baba mwenye nyumba na yeye anajiona ni mama mwenye nyumba mwenye haki sawa na yule aliemkuta, hapo atawaza mambo mengi ikiwepo kuitawala nyumba kwa kumtoa mke halali ili aolewe yeye. Kwa kifupi ni kwamba house girl akitembea na baba mwenye nyumba anaona maisha tayari ameshayapatia.