Kwanini Mahusiano ya kimapenzi na ndoa hayana formula maalum?

Grand Canyon

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
547
Reaction score
1,193
Jackson alimwoa Jackline ndoa ikavunjika, Jackson anadai Jackline hana heshima,mmbea,akirudi nyumbani ni kelele mwanzo mwisho, Jackline anadai Jackson hayuko romantic na anampiga mara kwa mara.

Hassan alimwoa Rehema na ndoa ikavunjika, Hassan anadai Rehema hana heshima ,mmbea na ni mtu wa kelele kila siku; Rehema anasema Hassan hayuko romantic na anampiga mara kwa mara.

Ndoa zao zilipovunjika,
Jackson akamwoa Rehema na wanaishi kwa amani,furaha na mahaba motomoto;
Hassan akamwoa Jackline na wanaishi kwa amani,furaha na mahaba motomoto;

Tatizo ni nini?

Tusemezane.
 
Mzee Kama hamuendani kiakili na kifikra hamfiki popote, heshima na kujishtukia ndo Kila kitu...mmoja asipojishusha Safari ya kibabe inavunja ndoa.
 
ndoa/mahusiano yanadumishwa na vitu viwili pekee:

1.kuendana(husababisha kuvumiliana kwa kila hali)

2.mmoja kujishusha(mmoja akubali kua kibonde, hapa ndoa/mahusiano hudum)

nb: mnaweza kua mnapendana bt msipoendana au mmoja kukubali kua mjinga hapo hamna ndoa lazima ife tu ova.
 
Mwanaume kujishusha yataka moyo sana
 
Maisha ya ndoa hayana FORMULA ndiyo maana ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu wajuwaji wanataka kuweka FORMULA..

Unatakiwa umjue mtu wako, anapenda nini na hapendi nini....hapo mnaweza mkaishi
 
Nahisi hili ni jambo muhimu
 
Jackson alimwoa Jackline ndoa ikavunjika, Jackson anadai Jackline hana heshima,mmbea,akirudi nyumbani ni kelele mwanzo mwisho, Jackline anadai Jackson hayuko romantic na anampiga mara kwa mara.

Hassan alimwoa Rehema na ndoa ikavunjika, Hassan anadai Rehema hana heshima ,mmbea na ni mtu wa kelele kila siku; Rehema anasema Hassan hayuko romantic na anampiga mara kwa mara.

Ndoa zao zilipovunjika,
Jackson akamwoa Rehema na wanaishi kwa amani,furaha na mahaba motomoto;
Hassan akamwoa Jackline na wanaishi kwa amani,furaha na mahaba motomoto;

Tatizo ni nini? Tusemezane.
Na hayatokaa yapate formula hata cku moja, au ww ushawahi ona maisha yana formular 😎😎😎
 
Back
Top Bottom