Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 547
- 1,193
Mwanaume kujishusha yataka moyo sanandoa/mahusiano yanadumishwa na vitu viwili pekee:
1.kuendana(husababisha kuvumiliana kwa kila hali)
2.mmoja kujishusha(mmoja akubali kua kibonde, hapa ndoa/mahusiano hudum)
nb: mnaweza kua mnapendana bt msipoendana au mmoja kukubali kua mjinga hapo hamna ndoa lazima ife tu ova.
tena ndo wengi sasa mkuu, karibu 60% ya ndoa zote wanaume wanaendeshwa na wake zao na maisha yanaendelea.Mwanaume kujishusha yataka moyo sana
Maisha ya ndoa hayana FORMULA ndiyo maana ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu wajuwaji wanataka kuweka FORMULA..
Unatakiwa umjue mtu wako, anapenda nini na hapendi nini....hapo mnaweza mkaishi
Kumbetena ndo wengi sasa mkuu, karibu 60% ya ndoa zote wanaume wanaendeshwa na wake zao na maisha yanaendelea.
Na hayatokaa yapate formula hata cku moja, au ww ushawahi ona maisha yana formular πππJackson alimwoa Jackline ndoa ikavunjika, Jackson anadai Jackline hana heshima,mmbea,akirudi nyumbani ni kelele mwanzo mwisho, Jackline anadai Jackson hayuko romantic na anampiga mara kwa mara.
Hassan alimwoa Rehema na ndoa ikavunjika, Hassan anadai Rehema hana heshima ,mmbea na ni mtu wa kelele kila siku; Rehema anasema Hassan hayuko romantic na anampiga mara kwa mara.
Ndoa zao zilipovunjika,
Jackson akamwoa Rehema na wanaishi kwa amani,furaha na mahaba motomoto;
Hassan akamwoa Jackline na wanaishi kwa amani,furaha na mahaba motomoto;
Tatizo ni nini? Tusemezane.