Kwanini Majaji wanaapa mbele ya Rais na sio Jaji Mkuu?

Nafasi ya Jaji Mkuu haiwezi kuwa wazi kwa sababu huteuliwa na rais aliyepita, kama kafariki, Kaimu wake anachukua nafasi
 
Na me pia nichangie uelewa wangu
kwanzaaa kabisa kuna majaji wa mahakama ya rufaa(Court of appeal) ambao kwa kingereza wanaitwa Justice ambao kiongozi wao ni jaji mkuu (Chief Justice)
ambaye huteuliwa na rais baada ya kumteua wanashirikiana kuteua justices wengine......
Na pia kuna majaji wa mahakama kuu(Judges) ambao nao huteuliwa na rais kwa kushirikiana na tume ya kuajili ya mahakama.. wao hukaa mahakama kuu (high court).....
sheria inasema rais atakoma kuwa rais pale Rais mteule atakapo kula kiapo mbele ya jaji mkuu na ikitokea jaji mkuu hayupo rais aliyepo madarakani atamteua kaimu jaji mkuu miongoni mwa justice(majaji wa mahakama ya rufaaa)
Kuhusu kuapishwa kwa justice na judges mbele ya rais ni siko tofaut na waliochangia juu.... rais ni head of the state ana hizo nguvu za kuapisha... pia nyuma ya pazia inaitwa quid pro quo....(scrub my back i scrub yours) yan japo kuna separation of power ila influence ya executive kwny mihimili mingine bado ipo ili kulinda interest zake
 
kwahiyo ulipenda kuona uchaguzi wa marudio anashinda mwingine badala ya Kenyatta, kwako ingekua imepunguza gharama za uchaguzi?
 
kwahiyo ulipenda kuona uchaguzi wa marudio anashinda mwingine badala ya Kenyatta, kwako ingekua imepunguza gharama za uchaguzi?
Kwa namna mifumo ya uchaguzi ilivyokuwa nchini Kenya na "mipango mipango", ilitarajiwa Uhuru kushinda tena; na ndivyo ilivyokuwa. Hivyo kwa msingi huo hapakuwa na haja ya kurejea uchaguzi ambao ungetoa matokea yaleyale.
 
kwahiyo ulipenda kuona uchaguzi wa marudio anashinda mwingine badala ya Kenyatta, kwako ingekua imepunguza gharama za uchaguzi?
Mkuu baadhi ya watu wana mawazo ya ajabu sana, wanachanganya national interest na interests za viongozi wa serikali /vyama. Yaani jaji akiwa strong na mwenye msimamo na asiyeyumbishwa na rais wanamuona hafai na siyo mzalendo. Tatizo lao ni imani potofu kwamba rais knows every thing na ndiye mwenye maamuzi yote, they forget that he is also a human and is bound to make mistakes. Uchaguzi maana yake wananchi wachague kwa haki na wasikilizwe na waliochaguliwa iwe ni kwa mujibu wa upigaji kura wa haki na wa kweli. Pale ambapo kuna mashaka ya wizi au ujanja ujanja lazima mahakama ifanye kazi yake irrespective of costs coz that is part of democracy. Haiwezekani kusiwe na mechanism ya kumbana rais pale anapikosea kwa sababu hii itamfanya awe na kiburi na eventually kupuuza wananchi wake.
 
well said
 
Tuanze na kipindi Cha uchaguzi Kama mwaka huu ambapo rais aliye madarakani anakuwa mgombea lakini hii haiondoi ile nafasi ya urais aliyonayo kwaiyo Kama ikitokea jaji mkuu kafariki before kipindi Cha kuapishwa rais naona Kama rais anayo nguvu ya kuteua jaji mwingine alafu yeye ataapishwa na huyo huyo aliemtea na Kama rais alikua ndo anamaliza vipindi vyake basi atateua jaji then Mambo mengine yataendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…