Inabidi ziwepo sheria kali kwanza na kampeni nyingi za kufanya usafi na upandaji miti.Haya mambo ni psychology, lazima watu wahasishwe kuwa wastaarabu basi hiyo itakuwa kazi nyepesi sana hakuna mtu atatupa taka hovyo watu watazingatia vitu vingi sana ustaarabu ukiimarika ndani yao
Sheria ziwe na utekelezaji lakini pia elimu ni muhimu itasaidia sanaInabidi ziwepo sheria kali kwanza na kampeni nyingi za kufanya usafi na upandaji miti.
Sheria zikiwa kali watu watapunguza kutupa taka ovyo na miaka inavyozidi kwenda inakuwa utamaduni wao tayari
Mbona mji wenyewe hauna watu?Hivi kwa nini licha ya kuwa jirani na Rwanda bado hatujapata motivation ya kufanya majiji yetu yawe masafi?
Tuna majiji sita tu
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Dodoma
5. Tanga
6. Mbeya
Hivi hatuwezi kuanzisha kampeni kali ya "KEEP OUR CITIES CLEAN" watu walipishwe faini za kutosha wakitupa taka hovyo, kuwe na dustbin mitaani, kuwe na sheria kali kama tu walivyozuia mifuko ya plastiki na ikatoweka. Majiji 6 hayawezi kutushinda kuwa masafi
Shida wala sio umasikini. Rwanda kuna umasikini kushinda Tanzania na bado miji yao kuanzia Kigali, Musanze nk ni misafi na iko civilized.
Shida sio uchumi. Tanzania inazidi Rwanda kuanzia GDP mpaka GDP per capita na bado Rwanda inaonekana civilized
Shida sio watu weusi. Rwanda 99% ya population ni watu weusi, na nchi yao ni safi.
Shida sio population. Because tell me inakuwaje Mbeya, jiji la watu laki 6 ni chafu kuliko Kigali yenye watu milioni 2?
πΈ Kigali
View attachment 3593610View attachment 3593611View attachment 3593612View attachment 3593613View attachment 3593614View attachment 3593615View attachment 3593616View attachment 3593617View attachment 3593618View attachment 3593619View attachment 3593620View attachment 3593621View attachment 3593622View attachment 3593623
Walipoanzisha ile program yao ya kila mwezi,waliita(umuganda)Mbeya haiwezi kufikia Kigali. Ni pachafu mno, barabara zimechoka mbaya, na vumbi ndio usiseme. Haifikii hata robo ya Kigali
Jamaa wako well organized sana kwenye mambo yaoMbeya haiwezi kufikia Kigali. Ni pachafu mno, barabara zimechoka mbaya, na vumbi ndio usiseme. Haifikii hata robo ya Kigali
Hivi dar mitaa ya upanga ile junction ya kwenda muhimbili bado chemba ya maji machafu inatemaWabongo ustaarabu na usafi ni sifuri (zero) .
Tuwezacho sisi ni fitina, umbea, majungu, chuki, siasa za kipumbavu na kukata mauno ya singeli na vibao kata vya Bi Halima Kindamba.
Mtu akimaliza kula au kunywa chochote hata akiwa mjini kati kwenye gari, atafungua kioo cha gari, atupe uchafu nje bila kujali.
Ukipita mitaa ya Buguruni, unakuta uchafu umerundikwa barabarani kabisa. Hii barabara ya Nelson Mandela.
Ndio maana mitaro ya maji barabarani inaziba haraka sana kutokana na uchafu.
Waafrika hasa watanzania tuna uchafu na upumbavu wa milele.
Hapo Rwanda π·πΌ, Ukipanda bodaboda ni LAZIMA na AMRI uvae Helmet πͺ wewe na dereva. SIO OMBI. Ukikiuka hiyo faini utakayopigwa utasimulia.
Na hakuna ujinga wa kupakizana mishikaki.
Sisi watanzania bado tuna upumbavu ambao unahitaji kuondolewa kwa nguvu kubwa na sheria kali kabisa.
Watu wachafu sana bila mkazo mambo hayawezi kwendaSerikali ikitilia mkazo unadhani itashindikana?
Halafu pia watu wenyewe usitarabu mdogo yaan unaenda kwa mtu alivyo jitupa tupa hovyo mavitu yapo hovyo hovyo huyu nyumbani kwake kuna mshinda ataweza huko njee bila kushikiwa bakora?
Hizo ni picha za Kigali. The cleanest city in East Africa so whatever point you want to make, is not valid. Kigali ni jiji safi asilimia kubwa, everyone knows that coz it's a factMbona mji wenyewe hauna watu?
au umepiga picha masaki ukafikiri na kariakoo kupo hivyo hivyo?
Vibaya mno.Hivi dar mitaa ya upanga ile junction ya kwenda muhimbili bado chemba ya maji machafu inatema
Ova