Kwanini majiji yetu Tanzania hatuwezi kuyafanya yawe masafi kama Kigali?

Kwanini majiji yetu Tanzania hatuwezi kuyafanya yawe masafi kama Kigali?

Watu wachafu sana bila mkazo mambo hayawezi kwenda

Ova
Yaan bila kushurutishwa ni ngumu na hakuna kitu kinachafua mazingira na kuonekana hovyo kama hivi vibanda vya barabarani unakuta vimerundikana vichafu
 
Mbeya haiwezi kufikia Kigali. Ni pachafu mno, barabara zimechoka mbaya, na vumbi ndio usiseme. Haifikii hata robo ya Kigali
Barabara zilizowekwa lami tu
Zimejaa mchanga,hazifagiliwi
Kitu ambacho baada ya muda mchanga utajaa mpaka lami kutoonekana
Barabara kuonekana ya vumbi

Ova
 
Barabara zilizowekwa lami tu
Zimejaa mchanga,hazifagiliwi
Kitu ambacho baada ya muda mchanga utajaa mpaka lami kutoonekana
Barabara kuonekana ya vumbi

Ova
Hili suala linanikera sana. Niliona Rwanda wameajiri watu wa kufagia barabara so barabara zao zitadumu kwa muda mrefu
Sisi barabara zetu zinajaa michanga, mashimo mpaka zinaanza kuharibika au ile mistari ya njano na nyeupe inafutika unakuta zinahitaji matengenezo ya mara kwa mara
Angalia barabara kuu ya TANZAM Mbeya, nilipiga last week. Na hii ni lami. Maintenance ni zero kabisa
PXL_20260512_103739264.jpg
 
Serikali ikitilia mkazo unadhani itashindikana?

Halafu pia watu wenyewe usitarabu mdogo yaan unaenda kwa mtu alivyo jitupa tupa hovyo mavitu yapo hovyo hovyo huyu nyumbani kwake kuna mshinda ataweza huko njee bila kushikiwa bakora?
Yeah serikali ikitilia mkazo nchi inabadilika chap tu. Kama ni uchafu mtu awe mchafu kwake, akiwa mtaani azingatie usafi
Hata nchi safi za Ulaya, kuna watu ni wachafu nyumbani kwao lakini mitaa yao ni misafi. So ni bora hao watu wachafu waendelee kubaki na uchafu wanapokaa ila mitaa wahakikishe ni misafi
 
Exactly mtu awe mchafu nyumbani kwake haya swali sasa kwa serikali ipi?
 
Tatizo Tz kila kitu huwa ni kuingiza siasa,mfano sasa hivi serikali ikianzisha sheria kali sana kuhusu usafi kama Rwanda wana siasa wataitumia kama ajenda na mtaji wa kisiasa na watazunguka nchi nzima kuwaelezea wtz jinsi wanavyo nyanyasika kwenye nchi yao kwa kutozwa faini kiholela.

Mpaka sasa serikali imeshindwa kuwadhibiti wamachinga kwa sababu hizo hizo za kisiasa ,kiufupi nchi yeyote siasa ikipewa kipaumbele kuliko matumizi ya akili ni tatizo kubwa sana.
Sidhani kama hii inaweza kutumika kisiasa. Mbona mifuko ya plastiki waliikazia hadi watu wakaacha kutumia na hakukuwa na malalamiko. Maana kwa kutumia common sense kila mtu anajua umuhimu wa miji kuwa misafi
 
Exactly mtu awe mchafu nyumbani kwake haya swali sasa kwa serikali ipi?
Shida ndio iko hapo. Walianzisha kampeni ya kufanya usafi kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi, ila serikali ya sasa ilivyokuja imeua kabisa Jumamosi ya mwisho wa mwezi
 
Shida ndio iko hapo. Walianzisha kampeni ya kufanya usafi kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi, ila serikali ya sasa imeiua kabisa Jumamosi ya mwisho wa mwezi
Kipindi cha mwenda zake nakumbuka
 
Yeah serikali ikitilia mkazo nchi inabadilika chap tu. Kama ni uchafu mtu awe mchafu kwake, akiwa mtaani azingatie usafi
Hata nchi safi za Ulaya, kuna watu ni wachafu nyumbani kwao lakini mitaa yao ni misafi. So ni bora hao watu wachafu waendelee kubaki na uchafu wanapokaa ila mitaa wahakikishe ni misafi
Mkuu hapa ni country side
Shambani ona kulivyo 😄
Denmark 🇩🇰

Ova
 
Attachments

  • IMG-20260516-WA0011.jpg
    IMG-20260516-WA0011.jpg
    971 KB · Views: 15
Nchi u bampa mpika Urojo na supu ya Pweza

Halafu unakaa Ng'anyu unasubiri muujiza.! 😏
 
Shida ndio iko hapo. Walianzisha kampeni ya kufanya usafi kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi, ila serikali ya sasa ilivyokuja imeua kabisa Jumamosi ya mwisho wa mwezi
Ukienda Japan ndiyo uta blow...
Unapowambia watu wafanye usafi kwenye maeneo yao,ina maana eneo kubwa litakuwa safi
Moshi na iringa walikuwa wanajitahidi sijui kwa sasa huko,

Ova
 
Kipindi cha Makonda akiwa RC Dsm alijaribu hilo ila haikuwezekana.

Jiji walikitahidi kuweka dustbins maeneo mengi mjini, ilienda kwq wiki kadhaa mwisho dustbins zikawa zinajiozea tu na watu hawatupi taka humo.

Na bila shala hawajui na hawana huo ustaarabu wa kutupa taka mahali sahihi.
 
Back
Top Bottom