Kwanini majirani zetu Kenya wanatusema vibaya! Waubeza Uchaguzi Wetu kwa kuuita Coronation. Mbona sisi hatuwasemi?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi,

Angalieni jinsi hawa jirani zetu Wakenya wanavyo tusema vibaya kwenye TV yao kuhusu uchaguzi mkuu wetu, wanamsema vibaya huyu mgombea wetu tegemeo la Watanzania, wanamuita ni dikiteta na wamefikia kiwango cha kudai eti uchaguzi wetu wa kesho sio uchaguzi kweli bali ni coronation!,tukinyamaza maana yake ni kweli uchaguzi wetu ni coronation!

View: https://youtu.be/NSG0IRfLsHk?si=sTy7fWwOq3aoARQ1

View: https://youtu.be/2XATW3VLL2E?si=g3SosYVroUsayqDT

Hawana adabu kabisa washen.. Hawa, mbona wao pia wana mambo yao mabaya lakini sisi hatuwasemi?. Thread 'Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?' Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?

EAC ina vipengele vya nchi wanachama kuheshimiana na kutoingiliana mambo ya ndani?. Uchaguzi si ni jambo la ndani?.

Hii pilipili iko shamba huku Tanzania, hawa Wakenya inawawashia nini?

This time Tanzania tusikubali, baada ya uchaguzi lazima tule nao sambamba!, hawawezi kutuchafua hivi huku sisi tumenyamaza!.

Kama ni TV, na sisi si tunazo TV, tujibu mapigo?, au kwa vile Tanzania kwenye TV zetu hatuna vipindi vya kihivi?, hivyo tuvumilie tuu?.

Japo naweza kutafsiri wamesema nini, ila subirini kwanza uchaguzi upite, hawa jamaa tunakula nao sahani moja.

Nchi yako haiwezi kutukanwa, Rais wako akatukanwa na Watanzania Wazalendo tupo tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?.

Paskali
Rejea
Thread 'Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?' Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?
 
Wanabodi
Angalieni jinsi hawa jirani zetu Wakenya wanavyo tusema vibaya kwenye hiki kipindi cha leo kwenye TV yao kuhusu uchaguzi mkuu wetu, wanamsema vibaya huyu nanilii wetu, wanamuita ni dikiteta na wamefikia kiwango cha kudai eti uchaguzi wetu wa kesho sio uchaguzi ni coronation¡.

wanaharakati waiotaka kutuingilia kwa kulipwa hapa wamedhibitiwa kweli kweli kwa mkono wa chuma haswa kwa hiyo kenya ndo seheme pekee kwa kutumia hela wwaliyopewa
 
Mbwa takataka Kabisa wewe
 
Mkuu, live yetu ya kufungia kampeni ina viewers 200 tu😭

Screenshot_20251028_133504_InstaPro  .png
 
Kuna kusemwa vibaya na
Kuambiwa ukweli
Wewe kama mzazi ukishindwa kuongozwa familia yako vizuri LAZIMA uambiwe na majirani

Hata watoto Kuna mipaka ukivuka LAZIMA udhibitiwe namna ya kuwalee na Sheria za nje

Aibu tuliyonayo kama taifa Kwa sasa kimataifa hutujawahi kuwa nayo tangu uhuru.
 
Wanabodi
Angalieni jinsi hawa jirani zetu Wakenya wanavyo tusema vibaya kwenye hiki kipindi cha leo kwenye TV yao kuhusu uchaguzi mkuu wetu, wanamsema vibaya huyu nanilii wetu, wanamuita ni dikiteta na wamefikia kiwango cha kudai eti uchaguzi wetu wa kesho sio uchaguzi ni coronation¡.

View: https://youtu.be/NSG0IRfLsHk?si=sTy7fWwOq3aoARQ1

View: https://youtu.be/2XATW3VLL2E?si=g3SosYVroUsayqDT

Hawana adabu kabisa washen.. Hawa, mbona wao pia wana mambo yao mabaya lakini sisi hatuwasemi?. Thread 'Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?' Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?

EAC ina vipengele vya nchi wanachama kuheshimiana na kutoingiliana mambo ya ndani?. Uchaguzi si ni jambo la ndani?.

Hii pilipili iko shamba huku Tanzania, hawa Wakenya inawawashia nini?

This time Tanzania tusikubali, baada ya uchaguzi lazima tule nao sambamba!, hawawezi kutuchafua hivi huku sisi tumenyamaza!.

Kama ni TV, na sisi si tunazo TV, tujibu mapigo?, au kwa vile Tanzania kwenye TV zetu hatuna vipindi vya kihivi?, hivyo tuvumilie tuu?.

Japo naweza kutafsiri wamesema nini, ila subirini kwanza uchaguzi upite, hawa jamaa tunakula nao sahani moja.

Nchi yako haiwezi kutukanwa, Rais wako akatukanwa na Watanzania Wazalendo tupo tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?.

Paskali
Rejea
Thread 'Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?' Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

Kwani ndugu Pascal Mayalla ukichukua kioo ukakiweka mbele yako na ukajiangalia sura utakayoiona ni ya nani?

Wewe umechukua kioo ukakiweka kenya kisha ukajiangalia halafu walalamika. Bado unayo nafasi wakati huu wakutubu maana mwana wa adau anasubiri jogoo kuwika
 
Ni tv gani hiyo huko kenya wamerusha hicho kipindi? Sie wengine tupo mwanza kirumba tunahitimisha kampeni za chama chetu kitaifa hapa, hatujui wakenya wamesemaje kwenye tv yao.
 
Wanabodi
Angalieni jinsi hawa jirani zetu Wakenya wanavyo tusema vibaya kwenye hiki kipindi cha leo kwenye TV yao kuhusu uchaguzi mkuu wetu, wanamsema vibaya huyu nanilii wetu, wanamuita ni dikiteta na wamefikia kiwango cha kudai eti uchaguzi wetu wa kesho sio uchaguzi ni coronation¡.

View: https://youtu.be/NSG0IRfLsHk?si=sTy7fWwOq3aoARQ1

View: https://youtu.be/2XATW3VLL2E?si=g3SosYVroUsayqDT

Hawana adabu kabisa washen.. Hawa, mbona wao pia wana mambo yao mabaya lakini sisi hatuwasemi?. Thread 'Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?' Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?

EAC ina vipengele vya nchi wanachama kuheshimiana na kutoingiliana mambo ya ndani?. Uchaguzi si ni jambo la ndani?.

Hii pilipili iko shamba huku Tanzania, hawa Wakenya inawawashia nini?

This time Tanzania tusikubali, baada ya uchaguzi lazima tule nao sambamba!, hawawezi kutuchafua hivi huku sisi tumenyamaza!.

Kama ni TV, na sisi si tunazo TV, tujibu mapigo?, au kwa vile Tanzania kwenye TV zetu hatuna vipindi vya kihivi?, hivyo tuvumilie tuu?.

Japo naweza kutafsiri wamesema nini, ila subirini kwanza uchaguzi upite, hawa jamaa tunakula nao sahani moja.

Nchi yako haiwezi kutukanwa, Rais wako akatukanwa na Watanzania Wazalendo tupo tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?.

Paskali
Rejea
Thread 'Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?' Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

....Una la Kuwasema nalo ?? Waseme kama unalo .
Kama wanasema Uongo, SI Uwajibu TU ?
🙄🙄🙄🙄
 
Hao wana democrasia kuongea wakeja na kujenga hoja ni jadi yao na kujiamini ni Jamii ya Wakenya ndo maana Kenya hamna Uchawa kama unafanya hapa kwa East Africa Wakenya ndo wanaongoza kuishi nchi za nje kusaka fursa ndo kuna Wakenya wengi wanafundisha University za USA Uingereza na kwingine kuna Profesa kibao ndo maana UN imependekeza kupunguza cost inamishia offc zake Kenya kutoka USA sasa nyie Endeleeni na utoto wenu
 
By the way wakenya na sisi huwa ni ndugu. Tuna utani wa jadi sana! Mkenya anaweza kusema mlima kilimanjaro upo kenya mtalii ashuke nairobi atapelekwa kilimanjaro akauone na ikawa hivyo. Ni utani utani wa kimaendeleo, hata sisi huwa tunawasema kuwa wana siasa za kikabila na kimaeneo kama bonde la ufa, mlima kenya, pwani na magharibi ya kenya
 
Hawana adabu kabisa washen.. Hawa, mbona wao pia wana mambo yao mabaya lakini sisi hatuwasemi?.
Kutokusema yao haizuuii wao kusema yetu Pascal. Hii inategemeana na tofauti ya kiwango cha uelewa.

Ila kiukweli huwa ninafarijika sana kuona jinsi hawa wenzetu wanavyoumia na sisi kwenye huu unyama tunaotendewa.(japo kuna wengine wenye kauli za matusi na za kukera)
 
Back
Top Bottom