Kwanini majirani zetu Kenya wanatusema vibaya! Waubeza Uchaguzi Wetu kwa kuuita Coronation. Mbona sisi hatuwasemi?

Wanabodi
Angalieni jinsi hawa jirani zetu Wakenya wanavyo tusema vibaya kwenye hiki kipindi cha leo kwenye TV yao kuhusu uchaguzi mkuu wetu, wanamsema vibaya huyu nanilii wetu, wanamuita ni dikiteta na wamefikia kiwango cha kudai eti uchaguzi wetu wa kesho sio uchaguzi ni coronation¡.

View: https://youtu.be/NSG0IRfLsHk?si=sTy7fWwOq3aoARQ1

View: https://youtu.be/2XATW3VLL2E?si=g3SosYVroUsayqDT

Hawana adabu kabisa washen.. Hawa, mbona wao pia wana mambo yao mabaya lakini sisi hatuwasemi?. Thread 'Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?' Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?

EAC ina vipengele vya nchi wanachama kuheshimiana na kutoingiliana mambo ya ndani?. Uchaguzi si ni jambo la ndani?.

Hii pilipili iko shamba huku Tanzania, hawa Wakenya inawawashia nini?

This time Tanzania tusikubali, baada ya uchaguzi lazima tule nao sambamba!, hawawezi kutuchafua hivi huku sisi tumenyamaza!.

Kama ni TV, na sisi si tunazo TV, tujibu mapigo?, au kwa vile Tanzania kwenye TV zetu hatuna vipindi vya kihivi?, hivyo tuvumilie tuu?.

Japo naweza kutafsiri wamesema nini, ila subirini kwanza uchaguzi upite, hawa jamaa tunakula nao sahani moja.

Nchi yako haiwezi kutukanwa, Rais wako akatukanwa na Watanzania Wazalendo tupo tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?.

Paskali
Rejea
Thread 'Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?' Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

ACHANA NAO.
Ukianza kuwarushia mbwa mawe njiani wanaokubwekea basi utachelewa kufika unapokusudia.
 
Rais Samia ni wetu, kesho tujitokeze kwa wingi kutiki/kupiga kura tumpe kura nyingi za kihistoria
 
20250527_120757.jpg
 
Hizo Media zipo sahihi kabisa kuja na mtazamo tofauti. Media za huku kutwa zinamsifia tu mtawala (Na hii ni baada ya Media zote kuwekwa kwenye payroll ya mtawala anayemwaga fedha za walipa kodi na zile za mikopo kama njugu, ili tu ndoto zake mbaya za kuitawala hii nchi; zitimie)
 
Ni wakati sasa wa wahariri waandmizi akina Balile. Doto Bulendu. Dr Ryoba kujibu kama narration ya wakenya ni mbaya wapandieni BBC swahili.
 
Wanatafuta kiki wakijibiwa ndo huwa wanapenda dawa ni kuwapuuza, hawana tofauti na zile Nyumbu za hapa Tz
 
Wanabodi
Angalieni jinsi hawa jirani zetu Wakenya wanavyo tusema vibaya kwenye hiki kipindi cha leo kwenye TV yao kuhusu uchaguzi mkuu wetu, wanamsema vibaya huyu nanilii wetu, wanamuita ni dikiteta na wamefikia kiwango cha kudai eti uchaguzi wetu wa kesho sio uchaguzi ni coronation¡.

View: https://youtu.be/NSG0IRfLsHk?si=sTy7fWwOq3aoARQ1

View: https://youtu.be/2XATW3VLL2E?si=g3SosYVroUsayqDT

Hawana adabu kabisa washen.. Hawa, mbona wao pia wana mambo yao mabaya lakini sisi hatuwasemi?. Thread 'Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?' Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?

EAC ina vipengele vya nchi wanachama kuheshimiana na kutoingiliana mambo ya ndani?. Uchaguzi si ni jambo la ndani?.

Hii pilipili iko shamba huku Tanzania, hawa Wakenya inawawashia nini?

This time Tanzania tusikubali, baada ya uchaguzi lazima tule nao sambamba!, hawawezi kutuchafua hivi huku sisi tumenyamaza!.

Kama ni TV, na sisi si tunazo TV, tujibu mapigo?, au kwa vile Tanzania kwenye TV zetu hatuna vipindi vya kihivi?, hivyo tuvumilie tuu?.

Japo naweza kutafsiri wamesema nini, ila subirini kwanza uchaguzi upite, hawa jamaa tunakula nao sahani moja.

Nchi yako haiwezi kutukanwa, Rais wako akatukanwa na Watanzania Wazalendo tupo tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?.

Paskali
Rejea
Thread 'Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?' Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

Nimesikiliza kwa makini, walichosema ni ukweli. Hao ni maprofesa wenye hadhi, siyo kama maprofesa wetu uchwara kama Kabudi au Bashiru. Tupo nyuma sana kulinganisha na hao wenzetu, hatuna large economical base kulinganisha na Kenya, na hao jirani zetu GDP yao itatuzunguka mara mbili kwa jinsi tunavyokwenda na huyo mama yako Samia. Hatuna strong middle class Paskali, tunao group dogo la Matajiri na group la maskini wengi, Kwa mfano Kenya middle class yao ni 46% Tanzania ni 15% angalia tofauti ilivyo kubwa na wao pia wana matajiri wengi (Dollar Millionaires) kuliko TZ, Ndiyo maana mpo machawa wengi kwa sababu hamuwezi kujitegemea kiakili, bila ya kuomba pesa ya chakula hamtoboi.
Kenya, hawafungi academicians ndiyo maana wanaongea kwa confidence, sisi kwetu ma-academicians wengi ni machawa, ebu angalia alichosema Kabudi Palamagamba (Mwalimu wako Paskali) kabla hajapewa nafasi ya ubunge na uwaziri na wakati kabla hajatolewa jalalani? (it is about turn 360 degree), Angalia Polepole kabla hajapewa asali, na wakati alipopewa asali na baadaye.
Na Paskali sasa hivi huna hata aibu kwa sababu unategemea uteuzi, unatetea uovu....Hivi dhamira haziwasuti.
 
Wanabodi
Angalieni jinsi hawa jirani zetu Wakenya wanavyo tusema vibaya kwenye hiki kipindi cha leo kwenye TV yao kuhusu uchaguzi mkuu wetu, wanamsema vibaya huyu nanilii wetu, wanamuita ni dikiteta na wamefikia kiwango cha kudai eti uchaguzi wetu wa kesho sio uchaguzi ni coronation¡.

View: https://youtu.be/NSG0IRfLsHk?si=sTy7fWwOq3aoARQ1

View: https://youtu.be/2XATW3VLL2E?si=g3SosYVroUsayqDT

Hawana adabu kabisa washen.. Hawa, mbona wao pia wana mambo yao mabaya lakini sisi hatuwasemi?. Thread 'Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?' Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?

EAC ina vipengele vya nchi wanachama kuheshimiana na kutoingiliana mambo ya ndani?. Uchaguzi si ni jambo la ndani?.

Hii pilipili iko shamba huku Tanzania, hawa Wakenya inawawashia nini?

This time Tanzania tusikubali, baada ya uchaguzi lazima tule nao sambamba!, hawawezi kutuchafua hivi huku sisi tumenyamaza!.

Kama ni TV, na sisi si tunazo TV, tujibu mapigo?, au kwa vile Tanzania kwenye TV zetu hatuna vipindi vya kihivi?, hivyo tuvumilie tuu?.

Japo naweza kutafsiri wamesema nini, ila subirini kwanza uchaguzi upite, hawa jamaa tunakula nao sahani moja.

Nchi yako haiwezi kutukanwa, Rais wako akatukanwa na Watanzania Wazalendo tupo tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?.

Paskali
Rejea
Thread 'Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?' Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

Kwa sababu sisi ni maiti since long time. Kenyata alitusema 40 years ago. Kusemwa vibaya na wakenya hakujaanza leo.

Na yanayoendlea kweli naamini TZ ni maiti how comes mtu.unabebwa kwenye lorry kuhudhuria mkutano tunatekwa,kuteswa na kuuwa lakini machawa wanaongezeka.

Nchi hii Police ni wakubwa kuliko wanajeshi aha ha ha. Media zote fyuuu badala wamhoji maswali mgombea urais badala yake wanapiga naye selfie watz ni kenge
 
Jamii ya Wakenya kwa East Africa ndo wanaongoza kuishi nchi za nje kusaka fursa ndo kuna Wakenya wengi wanafundisha University za USA Uingereza na kwingine kuna Profesa kibao ndo maana UN imependekeza kupunguza cost inamishia offc zake Kenya kutoka USA
Hii ni kweli, kwenye nchi za EAC, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza kutumia Kiswahili na ndio tuna Kiswahili safi,Wakenya wana Kiswahili kibovu, hivyo ni nchi zote duniani,zilipoamzisha idhaa za kiswahili,walichukua watangazaji kutoka Tanzania,RTD,lakini sasa Wakenya ndio wanaongoza!

UDSM ndio chuo kikuu cha kwanza kutoa degree za Kiswahili,lakini Wakenya ndio wanaongoza kwa kutoa waalimu wa Kiswahili duniani!

Ukifika pale UN New York,Wakenya na Waganda walioajiriwa UN ni wengi kuliko sisi Watanzania, ukija kwenye diaspora wa Tanzania compared to Kenyan diaspora ni mbingu na nchi!

Tukija kwenye media, ndio kabisa!,ukiangalia serious TV programs za kwenye tv za Kenya uka compare na contents zetu,ni mbigu na ardhi!

Watanzania tuna matatizo gani hadi
tunapitwa na Wakenya?, au Wakenya wana nini hadi wanatuzidi?

P
 
Wanabodi,

Angalieni jinsi hawa jirani zetu Wakenya wanavyo tusema vibaya kwenye TV yao kuhusu uchaguzi mkuu wetu, wanamsema vibaya huyu mgombea wetu tegemeo la Watanzania, wanamuita ni dikiteta na wamefikia kiwango cha kudai eti uchaguzi wetu wa kesho sio uchaguzi kweli bali ni coronation!,tukinyamaza maana yake ni kweli uchaguzi wetu ni coronation!

Paskali
Hii documentary ya BBC
View: https://youtu.be/9V11iRcPX1A?si=oXh0xK6fycxTMOxq, ni muendelezo wa jirani zetu Wakenya kutubagaza kwa mlango wa nyuma!, kupitia mgongo wa BBC!, the producer wa hii documentary ni Mkenya Peter Murimi is a multiple award-winning Kenyan TV documentary director focusing on hard-hitting social issues, from extra-judicial killings to prostitution.

Hivi Tanzania pia si tuna ma producer, tunashindwa nini ku produce documentary ya kuelezea ukweli wa kinachotokea Tanzania, ili kuwafunga midomo hao wazushi na wapotoshaji?.

Mfano kilichotokea October 29, kimetokea nchini kwetu, ukweli wa kilichotokea tunaujua, Tume ya Jaji Chande imeusema ukweli wetu kuwa waliokufa ni watu 518, kwanini sisi tusitengeneze documentary ya kuonyesha ukweli huo kuwa waliokufa ni watu 518, ili kuufuta ule uongo na uzushi kuwa wamekufa maelfu!.

Hii documentary ya sasa ya BBC kumhusu Lissu, kama tangu shambulio la Lissu lilipotokea, if we did the right thing, there would be no room ya kuweka uongo na uzushi!,
  1. Baada ya tukio, kwanini PT hawakufanya uchunguzi wowote?,
  2. Kwanini PT haikumhoji dereva wa Lissu ambaye hakuwa hata na scrach?
  3. Kwanini PT hakuwahi kutoa taarifa yoyote ya uchunguzi?
  4. Baada ya kuzichukua zile CCTV pale nyumbani, kwanini hakuna taarifa, wamekuta nini?.
  5. Lissu akiwa Nairobi alipa nafuu kuweza kuhojiwa yeye na dereva wake, kwanini PT, hawakwenda kumhoji?
  6. Lissu akiwa Belgium, alipapona, kwanini hawakwenda kumhoji?
  7. Baada ya Lissu kurejea nchini, kwanini hakutakiwa kutoa maelezo yoyote?
  8. Lissu akajipeleka mwenyewe polisi dodo kuulizia gari lake, akaambiwa lichukue, akalichukua, hii maana yake, kwani hakuna uchunguzi wowote?.
  9. Gari ya Lissu ndio primary evidence, kwanini hakuna taarifa ya balistic investigation report?
  10. Lissu kabla ya kushambuliwa alifa press conference na kuripoti anafuatiliwa akataja mpaka number ya gari, what did PT did?.
Media za kibeberu zimekuwa zikituchafua sana tena nyingine ni kuhusu very serious na sensitive info, kwanini serikali yetu imekuwa ikinyamaza kimya, ila hii documentary ya Lissu, serikali imejibu mapigo, why?.

P
 
Wanabodi,

Angalieni jinsi hawa jirani zetu Wakenya wanavyo tusema vibaya kwenye TV yao kuhusu uchaguzi mkuu wetu, wanamsema vibaya huyu mgombea wetu tegemeo la Watanzania, wanamuita ni dikiteta na wamefikia kiwango cha kudai eti uchaguzi wetu wa kesho sio uchaguzi kweli bali ni coronation!,tukinyamaza maana yake ni kweli uchaguzi wetu ni coronation!

View: https://youtu.be/NSG0IRfLsHk?si=sTy7fWwOq3aoARQ1

View: https://youtu.be/2XATW3VLL2E?si=g3SosYVroUsayqDT

Hawana adabu kabisa washen.. Hawa, mbona wao pia wana mambo yao mabaya lakini sisi hatuwasemi?. Thread 'Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?' Uzalendo wa ajabu wa Watanzania: Nchi inatukanwa, Rais anatukanwa, tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?

EAC ina vipengele vya nchi wanachama kuheshimiana na kutoingiliana mambo ya ndani?. Uchaguzi si ni jambo la ndani?.

Hii pilipili iko shamba huku Tanzania, hawa Wakenya inawawashia nini?

This time Tanzania tusikubali, baada ya uchaguzi lazima tule nao sambamba!, hawawezi kutuchafua hivi huku sisi tumenyamaza!.

Kama ni TV, na sisi si tunazo TV, tujibu mapigo?, au kwa vile Tanzania kwenye TV zetu hatuna vipindi vya kihivi?, hivyo tuvumilie tuu?.

Japo naweza kutafsiri wamesema nini, ila subirini kwanza uchaguzi upite, hawa jamaa tunakula nao sahani moja.

Nchi yako haiwezi kutukanwa, Rais wako akatukanwa na Watanzania Wazalendo tupo tumenyamaza. Huu ni Uzalendo gani?.

Paskali
Rejea
Thread 'Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?' Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

Tanzania haina la kujifunza Kenya kuhusu masuala ya uongozi au uchaguzi 🔥
 
Wanabodi,

Angalieni jinsi hawa jirani zetu Wakenya wanavyo tusema vibaya kwenye TV yao kuhusu uchaguzi mkuu wetu, wanamsema vibaya huyu mgombea wetu tegemeo la Watanzania, wanamuita ni dikiteta na wamefikia kiwango cha kudai eti uchaguzi wetu wa kesho sio uchaguzi kweli bali ni coronation!,tukinyamaza maana yake ni kweli uchaguzi wetu ni coronation!
Paskali
Rejea
Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?
Leo tarehe 29 October, 2026 ni kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kilichotokea October 29, 2025. Mimi naiadhimisha siku hii kwa kutafakari kwa kuyatembelea mabandiko yangu, ya post October 29, 2025.

Ila Watanzania tuendelee kupeana pole, kwa kilichotokea, mwaka mmoja ni kipindi kirefu, kuna badhi ya wenzetu wame heal kutokana na muda mrefu kupita, katika kumbukizi ya kilichotokea, tukumbuke kwa kiasi, tusije kujikuta tunapitiliza na kufumua makovu, na kutonesha tena kile kidonda na kuleta machungu upya, tujifunze kusamehe hata bila kuombwa msamaha, ili maisha yaendelee.

Bandiko hili, kabla ya uchaguzi, jirani alisema Tanzania hatuna uchaguzi bali ni coronation!, tuliunyamazia uongo huu wa coronation, matokeo yake uongo huu ukageuka ukweli, tarehe 29 October, tukafanya coronation!.

Mungu Ibariki Tanzania.

Mzee Pasco.
 
Back
Top Bottom