Kwanini makaburi huwa yanachimbwa futi 6?

Kuna baadhi ya nchi duniani hata Waislamu wanatakiwa wazikwe kwenye jeneza tofauti na hapa nyumbani ili kuepuka hilo.

Ni kipimo ambacho hata kama marehemu ana maambukizi mabaya bacteria ama virus wake hawawezi kujipenyeza na kutoka nje
LAKINI baadhi ya makaburi hasa ya watu wanaozikwa na manispaa hayafiki hicho kina
 
Kisutu kumejaa lakini mnalundika tu maiti nyie watu.
Uwanja wa kuzikana uwa haujai
Pale sio makazi ya kuishi , sijui mipaka na jirani yako
Pale ukizikwa biashara imekwisha
Baada ya muda fulani ,, katika ilo kabuli lako anaingia maiti mwenzako.
 
Kuna baadhi ya nchi duniani hata Waislamu wanatakiwa wazikwe kwenye jeneza tofauti na hapa nyumbani ili kuepuka hilo.
Wale mgambo uwa wanafukia tu,,
Awafuhati taratibu yeyote
Hata mwana ndani awachimbi
Wala awakulazi ubavu, awaweki sikio lako katika udongo , wala awachani sanda
Kifupi wanakutupa kama nyau tu,,
 

Yaan nimesoma ulichoandika nikajiuliza iko siku yangu nitachukuliwa vipimo kuwekwa mwanandani....[emoji26][emoji26]kifo ni mawaidha tosha.
 
🀣🀣🀣🀣🀣 wanaozika si wana mgambo ni Waislamu.

Wale mgambo uwa wanafukia tu,,
Awafuhati taratibu yeyote
Hata mwana ndani awachimbi
Wala awakulazi ubavu, awaweki sikio lako katika udongo , wala awachani sanda
Kifupi wanakutupa kama nyau tu,,
 
Nadhani ndio upepo kama wa ac unapopatikana
 
Wale mgambo uwa wanafukia tu,,
Awafuhati taratibu yeyote
Hata mwana ndani awachimbi
Wala awakulazi ubavu, awaweki sikio lako katika udongo , wala awachani sanda
Kifupi wanakutupa kama nyau tu,,
Kwani kawaida sanda uchanwa kaburini ?
Naomba kujuzwa
 
Hi, kuna mtu yeyote anaweza kunieleza ama kunipa kisa kilichopelekea kaburi kuitwa futi sita?!
La pombe lilichimbwa kilomita moja, ni mbishi yule msukuma angeweza kutoroka kama angezikwa futi6, hususan kama angegundua kovid aliyokuwa anaidharau ndo imemdedisha
 
Dah futi 6 ni chache Sana kw wazee wa nightshift,,,
Nakumbuka Kuna Bibi mmoja tulimzika adi Mara 4 tunamkuta geto kwake mar ya mwsho ilibdi tuchimbe Kam futi 12 iv hajatoka tena
 
Alikuwa anafufuka? 😳😳😳

Dah futi 6 ni chache Sana kw wazee wa nightshift,,,
Nakumbuka Kuna Bibi mmoja tulimzika adi Mara 4 tunamkuta geto kwake mar ya mwsho ilibdi tuchimbe Kam futi 12 iv hajatoka tena
 
Harufu mbaya, mwili wa binadamu una harufu kali sana
 
Alikuwa anafufuka? 😳😳😳
Ndio anafufuka yan mnazika leo kesho asubuhi mnamuona anaamka anaenda kunawa maji tukaona isiwe tabu futi 12 zikamhusu maana Vijana tuliona tunapoteza nguv kuchimb kabur la mtu mmja mar nyng tukampiga futi 12,,,

Tukamsubiri usiku home kwake yan akiludi tu usiku tumpe mkong'ot wa kutosh tumzike ten lakin baht nzur hakufufuka tena shenziiii yule
 
Reactions: BAK
😳😳😳😳Kwa hiyo mlimpiga ili kumuua? 😫😫




 
😳😳😳😳Kwa hiyo mlimpiga ili kumuua? 😫😫
Tulitaka akifufuka tena tupige maana ule usumbufu mtu inabd ufe Mara moja tu upumzike mkuu sio yule had mara4 anafufuka tu,,,
Kipindi anafufuka Mara ya 3 tulimkuta anaosha vyombo vilivyotumika kwenye msiba wake Jana yake amna mtu aliebaki Apo kila mtu mbio
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…