Kwanini makaburi huwa yanachimbwa futi 6?

Kwanini makaburi huwa yanachimbwa futi 6?

Kuna baadhi ya nchi duniani hata Waislamu wanatakiwa wazikwe kwenye jeneza tofauti na hapa nyumbani ili kuepuka hilo.

Ni kipimo ambacho hata kama marehemu ana maambukizi mabaya bacteria ama virus wake hawawezi kujipenyeza na kutoka nje
LAKINI baadhi ya makaburi hasa ya watu wanaozikwa na manispaa hayafiki hicho kina
 
Kisutu kumejaa lakini mnalundika tu maiti nyie watu.
Uwanja wa kuzikana uwa haujai
Pale sio makazi ya kuishi , sijui mipaka na jirani yako
Pale ukizikwa biashara imekwisha
Baada ya muda fulani ,, katika ilo kabuli lako anaingia maiti mwenzako.
 
Kuna baadhi ya nchi duniani hata Waislamu wanatakiwa wazikwe kwenye jeneza tofauti na hapa nyumbani ili kuepuka hilo.
Wale mgambo uwa wanafukia tu,,
Awafuhati taratibu yeyote
Hata mwana ndani awachimbi
Wala awakulazi ubavu, awaweki sikio lako katika udongo , wala awachani sanda
Kifupi wanakutupa kama nyau tu,,
 
Sijaona majibu ya kitaalam , kuendana na swali lililoulizwa,,
Kwa nn kabuli linachimbwa futi 6
Tega sikio
Kabuli la kiislam,,
Upana uwa tunapima mwili wa marehemu
Kuanzia kidole mbaka utosi
Kisha kipimo anapewa mchimba kabuli

Kuhusu urefu wa kwenda chini
Kipimo ni bega
Kisha kuna mwana ndani
Upana ni unyayo wa mguu

Urefu wa kwenda chini katika mwana ndani
Ni baina ya nyayo na goti la mguu
Mwislam akilazwa Kabulini
Pale kwenye mwana ndani
Mwanaume analala ubavu wa kulia
Kifua kinatakiwa kizame katika mwana ndani

Sasa ukitaka kupima urefu wa kabuli la mwislam
Chukua hiyo,,
Na kwa taarifa yenu,,
Kabuli moja linatakiwa liingie maiti 10
Kama makabuli ni ya umma
Na kabuli la mwislam kujengewa ni makosa
Kama amezikwa katika makabuli ya umma kama
Vile Kisutu nk,,
Ila ukizikwa katika shamba lako maamuzi ya kujengea kabuli litabaki katika familia
Mkijengea sawa mkiacha sawa…

Yaan nimesoma ulichoandika nikajiuliza iko siku yangu nitachukuliwa vipimo kuwekwa mwanandani....[emoji26][emoji26]kifo ni mawaidha tosha.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 wanaozika si wana mgambo ni Waislamu.

Wale mgambo uwa wanafukia tu,,
Awafuhati taratibu yeyote
Hata mwana ndani awachimbi
Wala awakulazi ubavu, awaweki sikio lako katika udongo , wala awachani sanda
Kifupi wanakutupa kama nyau tu,,
 
Wale mgambo uwa wanafukia tu,,
Awafuhati taratibu yeyote
Hata mwana ndani awachimbi
Wala awakulazi ubavu, awaweki sikio lako katika udongo , wala awachani sanda
Kifupi wanakutupa kama nyau tu,,
Kwani kawaida sanda uchanwa kaburini ?
Naomba kujuzwa
 
Hi, kuna mtu yeyote anaweza kunieleza ama kunipa kisa kilichopelekea kaburi kuitwa futi sita?!
La pombe lilichimbwa kilomita moja, ni mbishi yule msukuma angeweza kutoroka kama angezikwa futi6, hususan kama angegundua kovid aliyokuwa anaidharau ndo imemdedisha
 
Dah futi 6 ni chache Sana kw wazee wa nightshift,,,
Nakumbuka Kuna Bibi mmoja tulimzika adi Mara 4 tunamkuta geto kwake mar ya mwsho ilibdi tuchimbe Kam futi 12 iv hajatoka tena
 
Alikuwa anafufuka? 😳😳😳

Dah futi 6 ni chache Sana kw wazee wa nightshift,,,
Nakumbuka Kuna Bibi mmoja tulimzika adi Mara 4 tunamkuta geto kwake mar ya mwsho ilibdi tuchimbe Kam futi 12 iv hajatoka tena
 
Harufu mbaya, mwili wa binadamu una harufu kali sana
 
Alikuwa anafufuka? 😳😳😳
Ndio anafufuka yan mnazika leo kesho asubuhi mnamuona anaamka anaenda kunawa maji tukaona isiwe tabu futi 12 zikamhusu maana Vijana tuliona tunapoteza nguv kuchimb kabur la mtu mmja mar nyng tukampiga futi 12,,,

Tukamsubiri usiku home kwake yan akiludi tu usiku tumpe mkong'ot wa kutosh tumzike ten lakin baht nzur hakufufuka tena shenziiii yule
 
  • Mshangao
Reactions: BAK
😳😳😳😳Kwa hiyo mlimpiga ili kumuua? 😫😫

Tulitaka akifufuka tena tupige maana ule usumbufu mtu inabd ufe Mara moja tu upumzike mkuu sio yule had mara4 anafufuka tu,,,
Kipindi anafufuka Mara ya 3 tulimkuta anaosha vyombo vilivyotumika kwenye msiba wake Jana yake amna mtu aliebaki Apo kila mtu mbio
 
  • Mshangao
Reactions: BAK
Back
Top Bottom