johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ok......kumbe Mwinyi alikuwa na udhuru, ahsante!Wamesema waziri husika ametumwa kazi maalum
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Yohana mbona hii ni kawaida tu toka hata mimi nasikiliza bunge kwenye radio za mbao, tena radio ya jirani yetu. Kama Wizara haina naibu waziri yoyote anaweza kumjibia swali au kusoma hotuba yake. Ndio maana ya collective responsbility ya cabinet.Tumezoea kuona makadirio ya wizara yakiwasilishwa na mawaziri wa wizara husika lakini leo imekuwa tofauti makadirio ya wizara ya ulinzi yamewasilishwa na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu mh Mhagama.
Naelewa kuwa mh Mhagama ndiye mnadhimu wa bunge lakini hili la uwasilishaji makadirio sijaelewa protokali imekaaje?
Maendeleo hayana vyama!
Pamoja na nchi yetu kutokuwa na wagonjwa wapya wa gonjwa la Covid-19 muda mrefu sasa, ni busara kuchukua tahadhari kwa kujiweka kwenye karantini kwa hiari kama walivyofanya Wabunge wa CHADEMa au wengine wenye wasiwasi na afya zao. Karantini ya hiari ya siku 14 ruksa dunia nzima. When in doubt don't! Kinga ni bora kuliko tiba.Tumezoea kuona makadirio ya wizara yakiwasilishwa na mawaziri wa wizara husika lakini leo imekuwa tofauti makadirio ya wizara ya ulinzi yamewasilishwa na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu mh Mhagama.
Naelewa kuwa mh Mhagama ndiye mnadhimu wa bunge lakini hili la uwasilishaji makadirio sijaelewa protokali imekaaje?
Maendeleo hayana vyama!
Ukisikiliza michango Wabunge wa ccm asilimia 99 waoga wasio jiamini,wasio na uthubutu kushauri kwa tija. Bado wanatamani pasiwe na mawazo mbadala, ni bora tuwaze kupunguza Bunge tubaki na wawakilishi 2 kila mkoa, tuokoe walau pesa kuliko Bunge la ccm watupu.Acha tu hata asome Piere Liquid maana hakuna wanachojadili. Mbunge wa CCM akisimama dakika zake zinakuwa hivi
Dakika 5 kuwaponda sana Chadema
Dakika 3 kumsifia rais
Dakika 1 kuwaambia wanajeshi wajenge nyumba
Dakika 1 kuunga mkono bajeti
Huenda waziri husika alikuwa kwenye maziko ya Shehe Kilemile huko kwetu Tandika Dar. Shehe ni jirani yetu na tumesali nae sana Tandika.Tumezoea kuona makadirio ya wizara yakiwasilishwa na mawaziri wa wizara husika lakini leo imekuwa tofauti makadirio ya wizara ya ulinzi yamewasilishwa na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu mh Mhagama.
Naelewa kuwa mh Mhagama ndiye mnadhimu wa bunge lakini hili la uwasilishaji makadirio sijaelewa protokali imekaaje?
Maendeleo hayana vyama!
Lakini wizara ya ulinzi siyo " wizara yoyote " bwashee!Yohana mbona hii ni kawaida tu toka hata mimi nasikiliza bunge kwenye radio za mbao, tena radio ya jirani yetu. Kama Wizara haina naibu waziri yoyote anaweza kumjibia swali au kusoma hotuba yake. Ndio maana ya collective responsbility ya cabinet.
Lakini pale bungeni anasoma hotuba kwa niaba ya waziri wa ulinzi haiathiri kitu.Lakini wizara ya ulinzi siyo " wizara yoyote " bwashee!
Sio yule mbunge aliyewekwa karantini?Tumezoea kuona makadirio ya wizara yakiwasilishwa na mawaziri wa wizara husika lakini leo imekuwa tofauti makadirio ya wizara ya ulinzi yamewasilishwa na waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu mh Mhagama.
Naelewa kuwa mh Mhagama ndiye mnadhimu wa bunge lakini hili la uwasilishaji makadirio sijaelewa protokali imekaaje?
Maendeleo hayana vyama!
Yule ni Mtulia bwashee!Sio yule mbunge aliyewekwa karantini?
Yule ni Mtulia bwashee!
Ni mbunge wangu!Umejuaje?