Kwanini makadirio ya bajeti ya wizara ya ulinzi imewasilishwa na mh Jenister Mhagama badala ya Waziri husika Dkt. Mwinyi?

Kwanini makadirio ya bajeti ya wizara ya ulinzi imewasilishwa na mh Jenister Mhagama badala ya Waziri husika Dkt. Mwinyi?

Namkubali Sana huyu jamaa bila Shaka anajipanga kuchukua eneo
 
Una mtaka wa nini? Kuna tofauti yoyote akionekana au asipoonekana?
 
Yohana mbona hii ni kawaida tu toka hata mimi nasikiliza bunge kwenye radio za mbao, tena radio ya jirani yetu. Kama Wizara haina naibu waziri yoyote anaweza kumjibia swali au kusoma hotuba yake. Ndio maana ya collective responsbility ya cabinet.
Hivi sijawahi kusikia naibu Waziri wa ulinzi,hivi jiwe haijawahi mteua mtu kwenye hiyo post
 
Back
Top Bottom