Kwanini makadirio ya bajeti ya wizara ya ulinzi imewasilishwa na mh Jenister Mhagama badala ya Waziri husika Dkt. Mwinyi?

Kwanini makadirio ya bajeti ya wizara ya ulinzi imewasilishwa na mh Jenister Mhagama badala ya Waziri husika Dkt. Mwinyi?

Acha tu hata asome Piere Liquid maana hakuna wanachojadili. Mbunge wa CCM akisimama dakika zake zinakuwa hivi
Dakika 5 kuwaponda sana Chadema
Dakika 3 kumsifia rais
Dakika 1 kuwaambia wanajeshi wajenge nyumba
Dakika 1 kuunga mkono bajeti
Naunga mkono hoja yako kwa 100%
 
Back
Top Bottom