saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Waziri wa Nishati, Makamba amempigia simu Waziri wa Kilimo kuhusiana na suala la tatizo la kilio kikubwa cha bei ya Mbolea akiwa kwenye mkutano wa wananchi Ludewa, inamaana Bashe hawezi kusimamia majukumu yake hadi asaidiwe na makamba au Bashe hawezi kufanya ziara Ludewa kuzungumza na wakulima kuhusu tatizo la kupanda kwa bei ya mbolea.
Chanzo: Instagram/wizara_ya_nishati_tanzania
Chanzo: Instagram/wizara_ya_nishati_tanzania